Naomba ushauri kuhusu umwagiliaji kwa kutumia sola

Nimefunga solar ya gharama ya 12 miln kwenye shamba la jamaa yangu la miparachichi kama shamba lako lipo mbali na chanzo cha maji jiandae kununua armoured cable, unatakiwa kuwa atleast na 1kw kama pannel 5 za watt 200 ambazo moja ni kama laki3 ama nne inategemeana na ubora. Uwe na undergeound cable suggestion armoured cable. Hizi cable zina gajarama mbwa haruki. Bado pump, solar haina haja ya battery ila unatakiwa uzidishe kama pump ni 1kw basi angalau uwe na system ya 1.5kw sababu kuna siku kunakuwa na mawingu utakuwa haupati nguvu ya kutosha
Nina shamba la ekari 10, nitahitaji gharama kiasi gani ili kuwekeza mifumo ya kumwagilizia ya sola?
 
Umepanda nini mkuu, aina ya umwagiliaji ni drip ama ikoje, ni rahisi zaidi kufanya drip irrigation ila uwekezaji wake kwa eka 10 ni mkubwa sana. Anzia mipira hadi reserve tank, pia umbali wa shamba lako na chanzo cha maji, altitude kutoka chanzo kwenda shamba, altitude ya tank lako hivi viru vyote vinaweza kudetermine ni mfumo wa ukubwa kiasi gani ufungiwe. Hivo itakulazimu kumpeleka mtaalam shambani. But kama ni tambarare ama mteremko hiyo naweza kukupa rough estimate
 
Mkuu hebu nipeni elimu ya kutosha maana na mm nahitaji mfumo wa solar. Nina shamba ekari 4. Nimejenga nyumba hapo hapo. Shamba kuna sehemu ni tambarare kabisa na sehemu nyingine ni mwinuko wa vichuguu tu kiasi. Nina maji tayari nilichimba kisima mita 100 nikafunga pampu ya umeme. Sasa nimeona kuyavuta maji kuyapandisha alafu kuyasambaza hadi nimwagilie shamba naona luku inakatika sana nilifanya majaribio kwenye bustani za mboga wakati wa kiangazi.

Kama nikihitaji nibadilishe niweke pampu ya solar ya kupandisha maji hizo mita 100, then yaingine kwenye reserve tank, alaf niyavute kutoka reserve tank kuyasambaza shambani niandae kama sh ngapi? Mawazo yangu ni kuwa Niweke pump ya solar ya kupandisha maji na kuyaweka kwenye reserve tank niliyoiandaa. zoezi la kupandisha lifanyike mchana wakati jua lipo ili nisiingie gharama za betri. Kutoka kwenye reserve tanks ndo niweke zile pumps ndogo za kusukuma horizontally kutoka kwa kila tank kuelekea upande wowote wa shamba ninaouhitaji.
Naomba kuwasilisha
 
Kwa elimu yangu ndogo kuhusu pump/maji, kwa kisima kirefu unatakiwa ujue vitu vifuatavyo.
1. Head(H), kimo ambacho pump itaweza kusukuma wima. Kwa kisima chako utatakiwa uulizie pump yenye head kuanzia 110-120m.
2. Discharge (Q), kiasi cha maji ambacho hiyo pump itasukuma kwa dakika moja. Pendelea pump yenye discharge kubwa(Kama Kuna options ya kuchagua).
3.Ulizia solar cell/panel yenye uwezo wa kuzalisha moto wa kuendesha hiyo pump utakayoishagua direct bila betri(Kama ulivyotaka).
Ukikamilisha kupata bei/kununua unamuita fundi umeme akuunganishie.
NB: kupunguza garama ya kuwasha pump nyingine kutoka kwenye reserve tank, ni Bora kujenga mnara tank likawa juu ili maji yashuke by gravity. Unaweza kujenga temporary (tumia milunda, chuma za scarfolding, etc) au permanent kwa kutumia tofali, chuma ngumu, nk.
 
Nimekuelewa sana ila kuna baadhi ya hoja zako nina maswali bado. Nimeshatembelea baadhi ya watu waliojenga hiyo minara bado ni changamoto sana. Kwa shamba la ekari 4 ukitaka efficiency utahitaji minara minne au mitano, assume kila tank lihudumie ekari moja. Lakini pia zingatia gharama ya kupandisha juu tank la lita 10k ni kubwa sana na linatakiwa liende juu sana ili upate maji yenye pressure. Hebu tumia physics ya kawaida tuu tank liwe juu kiasi cha kuwa na pressure hiyo bajet yake which is better na mtu ambaye amelinyanyua tank lake kama mita 1 tu au 1.5 metres alafu akafungia motor ya kusukuma maji horizontally akafunga solar pannel. the second option is much better. Sikubaliani na hii style ya kunyanyua tank mita 4 au 5 alafu utegemee kuhudumia ekari nzima maji hayana pressure kabisa yanatoka kawaida sana
 
Bei ya hizi solar pump inategemea na urefu wa kisima;
0.5 hp , maximum mita 44. Bei ni 1.2M
0.75 hp, maximum mita 65. Bei 1.6 M
1 hp, maximum mita 80,bei 1.8 M
1.5 hp, maximum mita 120, bei 2.2 M
Pump zinakuja na control box yake na solar panels zake.
Karibuni dukani , Gerezani KARIAKOO, mtaa wa lindi na Livingstone.
 
Nimekuelewa sana ila kuna baadhi ya hoja zako nina maswali bado. Nimeshatembelea baadhi ya watu waliojenga hiyo minara bado ni changamoto sana. Kwa shamba la ekari 4 ukitaka efficiency utahitaji minara minne au mitano, assume kila tank lihudumie ekari moja. Lakini pia zingatia gharama ya kupandisha juu tank la lita 10k ni kubwa sana na linatakiwa liende juu sana ili upate maji yenye pressure. Hebu tumia physics ya kawaida tuu tank liwe juu kiasi cha kuwa na pressure hiyo bajet yake which is better na mtu ambaye amelinyanyua tank lake kama mita 1 tu au 1.5 metres alafu akafungia motor ya kusukuma maji horizontally akafunga solar pannel. the second option is much better. Sikubaliani na hii style ya kunyanyua tank mita 4 au 5 alafu utegemee kuhudumia ekari nzima maji hayana pressure kabisa yanatoka kawaida sana
Nimewahi kufunga system za umwagiliaji kwenye greenhouse za mboga na maua. Ukubwa wa kila greenhouse moja ni wastani wa nusu ekari, na kila greenhouse mbili zilikuwa zinashea tank tower moja yenye tank ya 5000L capacity (Yale marefu yenye kitako chembamba na sio mapana yenye kitako kikubwa). Ingawa technology iliyotumika ni drip irrigation. Kinachofanyika , ili kuongeza pressure huwa tunapunguza size ya bomba, otherwise uwe unatumia surface irrigation.
Kwa ekari 4 unaweza Jenga minara miwili tu ya kubeba Lita 5000L kila moja, na kila ekari 2 zikashea tank moja. Kinachofanyika ni kumwagilia kwa shift. Let say, saa 3 mpaka saa 5 tank A linamwagilia shamba No.1 na tank B linamwagilia shamba No.3. saa 5 mpaka saa 7 tank A linamwagilia shamba No. 2 na tank B kumwagilia shamba No. 4. Just simple Sana ndugu, ni kiasi cha kuweka gate valve zako vizuri according to shamba plan yako na topography ya shamba lako tu.
Kuhusu kupandisha maji, pump yako itatoa maji kutoka underground/source up to the tank, ndio maana binafsi nikashauri pump iwe yenye head kubwa na discharge kubwa kulingana na tank zako. Kuliko kununua pump mbili, issue ya initial cost, operation costs na maintenance costs lazima ziwe juu.
Zaidi hebu tusubiri na wadau wengine waje watupe mawazo na ushauri/uzoefu zaidi. Usisahau kuwa, Kama source ni kisima cha maji chumvi, surface irrigation ni harmful kwa uhai wa shamba lako pia.
 
Point yako ya mwisho- kuhusu quality ya maji, maji yangu hayana chumvi. nimepima PH iko 7.1 which is very normal hata kunywa hayana shida. Niliongea na jamaa wa Simusolar kuhusu pampu za solar, akanishauri kwa kuwa nina pampu ya umeme tayari ambayo inafanya kazi,, nitafute fundi mzuri wa kunifanyia mahesabu ya kufanya customisation ya pampu iliyopo kuwa na parallel systems, yaani niwe na solar pannels ambazo zitaunganishwa kwenye pampu, na pia mfumo wa umeme nisiuondoe kabisa. Badala yake niwe na system ya kuswitch kutoka umeme wa solar kuja umeme wa tanesco au kutoka umeme wa tanesco kwenda umeme wa jua. Issue ya idadi ya tanks, ngoja niiweke pembeni kwanza. muda utaamua.
 
Kila la kheri ndugu.
 
Back
Top Bottom