Naomba ushauri kuhusu mke wamgu

Naomba ushauri kuhusu mke wamgu

.....hapo si bure kuna shida, tena inawezekana shida hiyo ikawepo upande wako. Kwa ushauri tu, jaribu kutulia then ongea na mkeo kiutaratibu kabisa, utajua shida ilipo......

Maana ninachokifahamu ni kwamba, asilimia 85 ya wanawake, uwa wana-sex for reason (s)- namaanisha ya kwamba, mwanamke anataka apate sababu ya kufanya tendo la ndoa na mwanaume, sababu zenyewe zinaweza kuwa kuthaminiwa, kupendwa, kuheshimiwa, n.k. Na kupitia sababu hizo/hiyo ndipo hisia zake za kimapenzi zinaponyanyuka juu ya huyo mwanaume, kisha atakuwa tayari kutoa ushirikiano katika tendo hilo la ndoa.

Sasa tatizo linakuja hapa, sometimes sisi wanaume tunajisahau sana, hasa pale tunapokuwa tumemweka mwanamke ndani(kuoa). Huwa tunafanya mambo mengi sana ya ajabu, pengine naona hali hii inachangiwa na stress za maisha au ni hali tu ya kukosa attentions za kuibiwa mkewe (wapo walionielewa hapa). Kiukweli sio jambo geni, kumkuta mwanaume yupo busy na kazi zake siku nzima, bila hata kukumbuka kumjulia hali mkewe aliyemwacha nyumbani tangu asubuhi alipoondoka, kisha jioni arudipo nyumbani anataka apewe haki yake ya unyumba kama kawaida kutoka kwa mkewe. Bila shaka mwanamke huyo, atakuwa na maswali mengi ya kujiuliza juu mwanaume wake, mfano anaweza kujiuliza maswali haya "huyu mtu ndio yupo busy sana?" " au anayemwanamke mwingine?" "Mbona anikumbuki?" "Mbona anijari?" N.k na hapo ndipo, ukakasi katika tendo la ndoa, uweza kuibuka. Ila pia yapo masuala mengine mabaya zaidi, tunayoyafanya bila kujua au kwa kujua...


Sasa nini kifanyike, hasa pale linapotokea suala kama hilo. Itakuwa ni hekima na busara ya hali ya juu, kama mwanaume huyo akaonyesha kujishusha mbele ya mwanamke wake, ikiwezekana hata kuzibinya hisia zake juu ya tendo la ndoa kwa muda huo, kisha kuanza kuongea na mkewe katika hali ya upole, upendo na kubembeleza......bila shaka mwanamke huyo atakuwa tayari, kuongea yanayo msibu mbele ya mumewe na kisha wataweza kuelewana na kurudisha hisia za kimapenzi zilizopotea.

Mwisho kabisa napenda nitoe lahi kwa wanaume wenzangu....."naomba tujaribu kutambua na kutendea haki nafasi yetu iliyokubwa katika familia, tambua sisi tumebeba nguzo moja ya waya wa upendo, furaha na amani ya familia, na wenzetu(wanawake) wamebeba ya upande wa pili, hivyo upande mmoja ukuyumba, bila shaka hata upande wa pili utayumba......" Nadhani wapo walionielewa hapa.

Asanteni.
 
Samahani sana kwa maneno haya, kaka hakuna mwanamke asie penda sex hata mmoja kama kichwa chake umekituliza effectively.i.e moyo wake uukonge ipasavyo hapo siku nzima atakua anakuwaza wewe tu,,,,tatizo baadhi ya wanaume hawatimizi majukumu yao ipasavyo inapelekea wake zao kuwa stressed unafikiri hamu hapo itatoka wapi?
Muhimu msome mkeo lazima kuna kitu kinamtatiza kimaisha au kuhusu wewe maana baadhi ya wanawake ni wasiri mno..hii ni experience yangu maana mimi ni KE

Uko sahihi ILA kwa dakika 30 hadi lisaa kweli? Hiyo ni karaha sio raha tena. Hiyo itakauka ka kuwa maumivu makali kwa mwanamke
 
Kabisa cha kwanza hakikisha pesa ipo yaani sio ya matumizi tu ya ziada ambayo mkeo ataweza kutumia bila kuulizwa mbona hujanunua nini au pesa yote umetumia. Hakikisha unampa muda wako yaani sio ukitoka kazini unapitia baa au kurudi home saa.mbili unatoka home anakwenda bar mpaka.saa.saba usiku ukirudi unataka bao tatu. Toka nae out mara kwa mara, shopping zisikauke at least mkiwa wote see ana smile sio kununa. Akina mama wana vikundi sijui michezo kunakuwa na kulipa pesa hapo hakikisha hakosi pesa ya kulipa maana akina mama hii kitu huwapa stress sana. Kwa sisi wanaume unaweza ukawapigia washkaji ukawaambia oya mie sina mpunga leo hakuna atakayeongea baada ya hapo, lkn akina mama itakuwa story ya siku flani kashindwa mchezo hana hela. Kwa hayo at least utakuwa baba mwenye majukumu atakuona unamjali itakuwa rahisi yeye kukufeel. Vile vile unaweza ukawa mchoyo au hauko romantic inajifurahisha weye tu ndo maana unaenda magoli mengi. Ingekuwa ni zoezi shirikishi mngechukua muda maana muanze romance mparamiane cha kwanza at least 45 minutes mpumzike muanze tena romance yaani tartiiibu cha pili wote hoi. Jaribu kuangalia unakosea.wapi

Mke wangu ni Mwalimu wa secondary hana mambo mengi ni committed Muslim saa Tisa yupo nyumbani. Mimi nimejiajiri saa kumi nipo nyumbani labda kuwe na issue ya kunichelewelesha. Bar nikienda namfuata mtu ana dili la pes. Pesa ya kutatua matatizo ya family na kubadilisha mboga ninayo. Tunapiga story sana na mke wangu .
Baada ya kuchukua ushauri kutoka vyanzo mbali mbali nimefikia conclusion kwamba nimemzidi nguvu ila Muhaya alikuwa na Kiranga cha kushindana na simba Dume. Ngoja nipambane na hali yangu
 
Kwani kabla hamjaoana hamkutest vyombo ili kuona kama mnaendana? Mwanaume ukishaoa malalamiko ya nn mbona haukumlalamikia kabla ya kumuowa?
Kuna tatizo linasumbua sana. Kimaumbile Mimi kulala bila kupata bao moja au mbili (bao moja 30minites-1hr)siwezi kabisa na hapo weekend napata kama tano hivi kama siku yote nikiwa nyumbani. Hii hali mke wangu naona hawezi sasa anachokifanya hakiwa hana Moody anananitegeshea toka tu nihangaike nalo na Mimi siipendi hii hali tunaishia kugombana tu. We have several discussion mwisho kaniambia kama vipi niongeze mke wa pili tu . Sasa kwanza Mimi sijafikiria kuongeza mke wa pili pia sijafahamu kama hii ruhusa anamaanisha au Kuna jambo jingine. Naogopa sana kuingia kwenye dhambi ya kuzini. Kama mwanamke naomba unipe uzoefu wako.
 
Mke wangu ni Mwalimu wa secondary hana mambo mengi ni committed Muslim saa Tisa yupo nyumbani. Mimi nimejiajiri saa kumi nipo nyumbani labda kuwe na issue ya kunichelewelesha. Bar nikienda namfuata mtu ana dili la pes. Pesa ya kutatua matatizo ya family na kubadilisha mboga ninayo. Tunapiga story sana na mke wangu .
Baada ya kuchukua ushauri kutoka vyanzo mbali mbali nimefikia conclusion kwamba nimemzidi nguvu ila Muhaya alikuwa na Kiranga cha kushindana na simba Dume. Ngoja nipambane na hali yangu
Kila la kheri kiongozi, hawa wenzetu ni ngumu sana kuwaelewa sometimes wanataka nini.
 
Naamini kila mwanamke mwenye afya kamili sex lazima aipende..maybe walioathiriwa kisaikolojia au wale ambao walisex before na wakaumizwa maybe wanaweza kwa mbali wakawa hivyo

Ila hakuna girl asiyependa kugegedwa kama yupo mzima kiafya

Si kweli, amin nakwambia kuna wanawake wenye nguvu nyingi za kike na wenye chache nachurally kama ilivo kwa wanaume wanavotofautiana
 
Am committed Muslim Ila swala la kuongeza mke wa pili lipo mbali kidogo kichwani mwangu tuna kakampuni ketu tunakakuza sitaki kuongeza majukumu Mimi sasa hivi.
nimekuelewa, lakini enda ukapate ushauri kwa sex therapist pls, hio sio tatizo kub kuu, na hongerakwa kuomba ushauri, maana anaeleza shinda zake kutaka ushauri wa vitu za muhimu i mtu ako na wisdom
 
Shida hawa watu kabla ya ndoa ukiwaambia Mimi nipo hivi anàanza kupiga vigeregere kama alivyojisifia hapo juu na mke wangu alijisifia hivi hivi ameingia kwenye ndoa anaomba poooo. Anarusha vile viimaji vya moto vya kihaya zaidi ya Mara kumi kidume bado sijafika mwisho,nikifika mwisho anagonga maji Lita moja na nusu yote Mara moja.
 
nimekuelewa, lakini enda ukapate ushauri kwa sex therapist pls, hio sio tatizo kub kuu, na hongerakwa kuomba ushauri, maana anaeleza shinda zake kutaka ushauri wa vitu za muhimu i mtu ako na wisdom

Bro tatizo mwanzo alikuwa na kiranga cha kushindana sasa alivyoishiwa pumzi kila anachoniambia Mimi nilikuwa naona ananizingua tu. Sasa nimeelewa anachoniambia ni kweli. Nimewasiliana na binamu zangu wa kike wamecheka sana na kuniambi kwamba wifi yao anàjitahidi sana wangekuwa wao wangenifyekelea mbali hahahaa
 
Niliwahi kupata mwanaume kama huyo mnasex sana kama hivi hachoki mpaka unamwamkaripia maana hafiki kileleni haraka kama nini.
Nimechoka kabisa nikamuacha asije kuniua.
Nanikwa watu walioeenda umri 35-55
Yaani hao kazi kabisa kwanini.
Cheki hii mnaandana anakuja kujisikia baada ya muda kama 5 minutes ufanye hivi vile.
Nakwa vijana 33-18 wao huenda kazini.
Ukimkiss hupokea haraka na hasubirii mmalizie lazima kazi ianze ila kwa wao huchelewa utamuandaa mpaka uchoke na ukereke.
So msaada labda mazoezi yakuchangamsha mwili mengine sisemi humu hata na nyie mnaniringia so bakini nashida zakukimbiwa.
Ukioa unachelewa kufika kileleni na wewe unaumri mdogo wewe umekuwa na mama makubwa ambao hawafiki kileleni haraka so umeadhirika kisaikolojia kwa hilo.
So mnielewe kabisa kuwa na wanawake mmnaoendana kiumri au chini yako au juu yako kidogo.
Ndio utakiwa unaendana nao kimapenzi vizuri nadhani mnanipata.
 
Mkeo mtam sana eeh, yaan kila siku tena 30min to 1hr hii kali hata ningekuwa mm nisingeweza, kumbe haya mambo ni wito aiseh
 
Tatizo umempa majukumu mengi,ndio maana anachoka.Hebu mpe uhuru na bajeti inayoeleweka,na tafuta dada wa kazi wa kumsaidia kusafisha nyumba,kufua,kulea watoto n.k; kazi ya mke iwe ni kukusubiri wewe tu.hapo tatizo lako litakuwa limeisha.
 
Bonny Mwaitege alisema "Njoo ufanyiwe Maooombiiiii"

 
Bro tatizo mwanzo alikuwa na kiranga cha kushindana sasa alivyoishiwa pumzi kila anachoniambia Mimi nilikuwa naona ananizingua tu. Sasa nimeelewa anachoniambia ni kweli. Nimewasiliana na binamu zangu wa kike wamecheka sana na kuniambi kwamba wifi yao anàjitahidi sana wangekuwa wao wangenifyekelea mbali hahahaa
Unasema ukweli uliabia binamu zake au ni mchezo uko nae, aki mimi sijaoa lakini nikioa siwezi ambia binamu zangu stori kaa hizo, lakini pengine mko na mchezo na munaelewana mkuu, lakini pls omba ushauri kwa huyo daktari anaitwa sex therapist, mambo kaa haya hutokea kwa ndoa, maana mimi nikioa kisa mke wangu akatae aki sijui, na siwezi enda je ya ndoa, hio ni dhambi, weekend jema mkuu
 
Back
Top Bottom