Mpekuzi17
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 445
- 396
Heeeeeeee!!!!Mwanaume mwenye nguvu za kiume lol
Mmh hizi nadharia japo mi si Ke, kufanywa kila siku wanawake karibu wote hawawezi banaSamahani sana kwa maneno haya, kaka hakuna mwanamke asie penda sex hata mmoja kama kichwa chake umekituliza effectively.i.e moyo wake uukonge ipasavyo hapo siku nzima atakua anakuwaza wewe tu,,,,tatizo baadhi ya wanaume hawatimizi majukumu yao ipasavyo inapelekea wake zao kuwa stressed unafikiri hamu hapo itatoka wapi?
Muhimu msome mkeo lazima kuna kitu kinamtatiza kimaisha au kuhusu wewe maana baadhi ya wanawake ni wasiri mno..hii ni experience yangu maana mimi ni KE
Wee ndo umesema kweliMwanaume mwenye nguvu za kiume lol
Huu ndo uhalisia, kuna mwenzio hapo juu kaongea nadhariaNot to that extent
Nenda pm!Nnavyopenda Ku make Love, ww ungekuwa mume wangu tungeenda sawa na ungechoka mwenyewe....[emoji16]
Aisee..interestingNnavyopenda Ku make Love, ww ungekuwa mume wangu tungeenda sawa na ungechoka mwenyewe....[emoji16]
Ndio hivyo...kuna wanawake wengine they not made for sex kabisa au wazungu wanasema non sexual women, mwanamke wa dizain hiyo kwanza ukianza kumletea habari ya sex tu aanza kuwa mnyonge utadhan unataka kumuua. Sasa pale ambapo mwanaume mpenda sex anapooa mwanamke asiyependa au vice versa...inakuwa ni kama torture katima hayo mahusiano au ndoa.Aisee..interesting
*KatikaNdio hivyo...kuna wanawake wengine they not made for sex kabisa au wazungu wanasema non sexual women, mwanamke wa dizain hiyo kwanza ukianza kumletea habari ya sex tu aanza kuwa mnyonge utadhan unataka kumuua. Sasa pale ambapo mwanaume mpenda sex anapooa mwanamke asiyependa au vice versa...inakuwa ni kama torture katima hayo mahusiano au ndoa.
Naamini kila mwanamke mwenye afya kamili sex lazima aipende..maybe walioathiriwa kisaikolojia au wale ambao walisex before na wakaumizwa maybe wanaweza kwa mbali wakawa hivyoNdio hivyo...kuna wanawake wengine they not made for sex kabisa au wazungu wanasema non sexual women, mwanamke wa dizain hiyo kwanza ukianza kumletea habari ya sex tu aanza kuwa mnyonge utadhan unataka kumuua. Sasa pale ambapo mwanaume mpenda sex anapooa mwanamke asiyependa au vice versa...inakuwa ni kama torture katima hayo mahusiano au ndoa.
Duuh unahatari sanaMiaka
Miaka mitatu na tulifahamiana mwaka mmoja kabla ya ndoa lakini tulikutana kimwili baada ya kuoana.
Oky you want to which extent my dearNot to that extent
Kuna tatizo linasumbua sana. Kimaumbile Mimi kulala bila kupata bao moja au mbili (bao moja 30minites-1hr)siwezi kabisa na hapo weekend napata kama tano hivi kama siku yote nikiwa nyumbani. Hii hali mke wangu naona hawezi sasa anachokifanya hakiwa hana Moody anananitegeshea toka tu nihangaike nalo na Mimi siipendi hii hali tunaishia kugombana tu. We have several discussion mwisho kaniambia kama vipi niongeze mke wa pili tu . Sasa kwanza Mimi sijafikiria kuongeza mke wa pili pia sijafahamu kama hii ruhusa anamaanisha au Kuna jambo jingine. Naogopa sana kuingia kwenye dhambi ya kuzini. Kama mwanamke naomba unipe uzoefu wako.