Kinjeketile
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 1,001
- 1,688
Kuna tatizo linasumbua sana. Kimaumbile Mimi kulala bila kupata bao moja au mbili (bao moja 30minites-1hr)siwezi kabisa na hapo weekend napata kama tano hivi kama siku yote nikiwa nyumbani. Hii hali mke wangu naona hawezi sasa anachokifanya hakiwa hana Moody anananitegeshea toka tu nihangaike nalo na Mimi siipendi hii hali tunaishia kugombana tu. We have several discussion mwisho kaniambia kama vipi niongeze mke wa pili tu . Sasa kwanza Mimi sijafikiria kuongeza mke wa pili pia sijafahamu kama hii ruhusa anamaanisha au Kuna jambo jingine. Naogopa sana kuingia kwenye dhambi ya kuzini. Kama mwanamke naomba unipe uzoefu wako.