Naomba ushauri kuhusu mke wamgu

Naomba ushauri kuhusu mke wamgu

Miaka

Miaka mitatu na tulifahamiana mwaka mmoja kabla ya ndoa lakini tulikutana kimwili baada ya kuoana.
Haya ndo madhara ya kukutana kimwili baada ya kufunga ndoa aisee,mngejuana mapema kipindi cha uchumba yasingetokea haya mkuu
 
Naamini kila mwanamke mwenye afya kamili sex lazima aipende..maybe walioathiriwa kisaikolojia au wale ambao walisex before na wakaumizwa maybe wanaweza kwa mbali wakawa hivyo

Ila hakuna girl asiyependa kugegedwa kama yupo mzima kiafya
Mmh hujakutana na varieties mkuu
 
Ten ni uhalisia kwa wengi wetu..
Yes yes, majority mko hivo kusema kweli, hapo inabidi jamaa akubaliane na uhalisia, apige mara 2 tu kwa wiki atapata ushirikiano mzuri.
 
Miaka

Miaka mitatu na tulifahamiana mwaka mmoja kabla ya ndoa lakini tulikutana kimwili baada ya kuoana.
Mbona mwaka 2016 ulikuwa unatafuta mchumba mkuu na ukasema una matatizo ya uzazi??

Sasa huyo mkeo ulimuoa mwaka gani mpaka uwe umetimiza nae miaka mitatu?
 
Naamini kila mwanamke mwenye afya kamili sex lazima aipende..maybe walioathiriwa kisaikolojia au wale ambao walisex before na wakaumizwa maybe wanaweza kwa mbali wakawa hivyo

Ila hakuna girl asiyependa kugegedwa kama yupo mzima kiafya
Sure. Am a lady. Na sijawahi chukia hii kitu. Burudani iliyopo pale naanzaje kutoa udhuru. Labda kuwe na sbb nzito. Japo mtu aliyeathiriwa kisaikolojia siwezi msemea. Tayari hiyo ni sababu ya kumfanya achukie
 
Mkuu upo kwenye mashindano au kila siku huyo mke ana haki kwakweli

Mapenzi ni starehe mkuu sio mateso unajiendekeza tu na kumfanyia maksudi mwenzio
 
Ww unajiendekeza tu mkuu Kila siku yaani kitu ukikikosa hufi usipofanya hata maisha yako yote hufi unakazia ufanye Kila siku fanya hata week 3 mkuu Shemeji apumzike Kwan ulipp kuwa ujaoa ulikuwa unaishije Sasa ulishindwa endekeza tabia ongeza mke wa pili.
 
My swahili not good but i hope you will understand english pls, i have read you idnt had sex before marriage, GREAT ONE KAKA, i really like that, u only have sex once you are married, but let me came to your issue, first when it cames to women they are more into sex EMOTIONALLY THAN PHYSCALLY, i hope you have got me, we men we just mostly like to penetrate into women and do our thing but when it cames to women, sex starts from the mind and physcal one i mean when you penetrate her its almost done ,to women sex a an emotional thing not a physcal thing like we men, so after reading your article, and after you saying your wife suggest a second wife, it bothers me a bit on 2 fronts, and before i go on, are you a muslim, coz in christianity we are not allowed more than 1 wife, so my guess is you are a muslim,so it makes it hard to advice you coz you muslims marry upto 4 wives, but if you were a christian a could tell u to pay a visit together with your wife to sex therapist and since these people are trained in such areas they could help you very much, you can even be having sex 3 times a day without your wife complaining and she will really enjoy it, but she must be MENTALLY GUIDED AND ADVICED ON HOW AND WHAT OF SEX, to ladies SEX IS A MIND THING, NOT A PYSCAL THING, hope i have helped you, need more advice, jjust drop me a a line pls, barikiwa mkuu


Am committed Muslim Ila swala la kuongeza mke wa pili lipo mbali kidogo kichwani mwangu tuna kakampuni ketu tunakakuza sitaki kuongeza majukumu Mimi sasa hivi.
 
Tatizo lilianza hapo, kukutana baada ya kuoana
Huo siyo ubavu wako, kuna sehemu ubavu wako upo siyo ajabu na wenyew unapata tabu hiv hivi


Hapana hili siyo tatizo maana miezi sita ya mwanzo tulienda sambamba ,hata sasa Moody yake ikiwa vizuri ile weekend J1&J2 tunapiga mpaka round 12
 
Back
Top Bottom