ksny
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 1,692
- 1,657
Ndugu yangu uliyosema ni kweli. Lakini tujuwe mpja, huyo mjenzi asiye na vyeti kajenga chini za wenye vyeti kwa muda mrefu. Kwa hiy anajuwa mahitaji ya vifaa mbalimbali katikas ujenzi wa majengo mbali mbali. Ukimpa huyu fundi kazi anafuata kwa zoefu aliyoupata chini ya engineers. Kwa nondo atashauri kufuatana na alivyokuwa anaagizwa na mainjinia. Zege nalo anajuwa ni mifuko mingapi kwa mchanga kiasi gani na pia kwa kokoto kiasi gani bila kusahau size ya kokoto. So, this fundi is not doing things out of the air. He or she is following what he or she got from engineers worked with.Mkuu nadhani una complicate mambo kwa kiasi fulani.
Pamoja na kuwa wahandisi ndiyo kisheria wanaotakiwa kukadiria structural components, bado hiyo haizuii watu kujadiliana na kupata rough idea/estimates za materials yanayohitajika. Hii ni nyumba ndogo ambayo most likely itakuwa na live load ndogo, non-seismic flat sandy soil.
Roughly unaweza kupewa idea hata na civil engineer, masons, hata wajenzi waliojenga nyumba kama hizo kwenye udongo kama huo na hutokuwa mbali.
Kuna waezeka bati, wajenzi wa mitaani wanakupa estimates ambazo zipo almost perfect wakati vijana waliomaliza chuo kikuu huwa wanakuwa na errors kuliko wao. Hiyo ipo na inatokea.
Plus, kwa residential building ndogo kama inayozungumziwa hapa, wapo watu wajenzi kwa miaka karibu ishirini na wanakupa estimates nzuri tu. Na ukiwa unaweza kutumia softwares nzuri kama Staad Pro, unaweza kuja na designs nzuri tu na ukapata picha halisi au close enough.
Hii dunia sasa hivi, professing something hakuhitaji vyeti au kukaa shule. Ndio maana Elon Musk anakwambia college is for proving that you can do your chores.