danieljeneral93
Member
- Mar 22, 2021
- 18
- 20
Maximum qualification ya kuajariwa serikalini ni First Bachelor Degree, Masters ni added advantage kwenye kupata vyeo au teuzi au kupanda cheo kufikia kuwa principal, na masters yenyewe lazima iwe ya kitu unachofanyia kazi, mfano ualimu basi uwe na masters ya ualimu n.k. Kwa hiyo ukisoma nje ya ualimu basi usitegemee kama itakusaidia pindi ukiajiriwa serikalini labda ukiwa na michongo mingine nje ya serikali. Ushauri wangu kama huna mpango wa kuajiriwa serikalini basi angalia fulsa zilizokuwepo mahali ulipo na angalia pia malengo yako halafu ndio uamue ni masters ipi itakuwa na manufaa kwako.Habr wana JM, ndgu zangu hapa ni jukwaa la kupeana michongo na kubadilishana mawazo.
Kuna jambo naombeni tusaidiane Mimi ni mwalimu na nje ya system nafanya private school ila nina hitaki kufanya master degree kipi kinaweza kuwa sahihi kwangu
1. Kusoma masters ambazo zinahusisha education. In case nimeajiriwa inaweza kunisaidia.
2. Kufanya master ambazo ziko nje ya ualimu. Kuhusu hii naombeni kuuliza hivi master degree unaweza kutumika as one of direct qualification for employment serikalini?
Nipeni mawazo ndgu zangu.
Serikali ina ajiri pia wenye Masters hadi PhD...Maximum qualification ya kuajariwa serikalini ni First Bachelor Degree, Masters ni added advantage kwenye kupata vyeo au teuzi au kupanda cheo kufikia kuwa principal, na masters yenyewe lazima iwe ya kitu unachofanyia kazi, mfano ualimu basi uwe na masters ya ualimu n.k. Kwa hiyo ukisoma nje ya ualimu basi usitegemee kama itakusaidia pindi ukiajiriwa serikalini labda ukiwa na michongo mingine nje ya serikali. Ushauri wangu kama huna mpango wa kuajiriwa serikalini basi angalia fulsa zilizokuwepo mahali ulipo na angalia pia malengo yako halafu ndio uamue ni masters ipi itakuwa na manufaa kwako.
Serikali ina ajiri pia wenye Masters hadi PhD...
Kijana soma timiza ndoto zako
Una UHAKIKA?Maximum qualification ya kuajariwa serikalini ni First Bachelor Degree, Masters ni added advantage kwenye kupata vyeo au teuzi au kupanda cheo kufikia kuwa principal, na masters yenyewe lazima iwe ya kitu unachofanyia kazi, mfano ualimu basi uwe na masters ya ualimu n.k. Kwa hiyo ukisoma nje ya ualimu basi usitegemee kama itakusaidia pindi ukiajiriwa serikalini labda ukiwa na michongo mingine nje ya serikali. Ushauri wangu kama huna mpango wa kuajiriwa serikalini basi angalia fulsa zilizokuwepo mahali ulipo na angalia pia malengo yako halafu ndio uamue ni masters ipi itakuwa na manufaa kwako.
Soma mkuu ila jitahidi kutafuta connection ili ukae Sehemu salama ZAIDI huko F I S I E M U
MAISHA hayana bahati na kitu ukipata bila kukipambnai kitaondoka .[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41] maisha ni bahati muda mwingine
MAISHA hayana bahati na kitu ukipata bila kukipambnai kitaondoka .
Tafsiri sahihi ya bahati ni kutake risk more risk more success
Okay hii naona imekaa sawa asante sanaSoma Masters inayohusu mambo ya uongozi na management ,kwa vile za ualimu kufika juu labda uwe sehemu za uongozi na management ..
Unaweza kula shavu hata ukuuu wa wilaya ukiwa na connection ya FISIEMU ....soma ishu za uongo na management ni nzuri sana.
Uncle alisoma hizo katolewa kweny ualimu angalau sasa ni afisa maendeleo.
Naweza kupata full name ya hyo master degree yakeSoma Masters inayohusu mambo ya uongozi na management ,kwa vile za ualimu kufika juu labda uwe sehemu za uongozi na management ..
Unaweza kula shavu hata ukuuu wa wilaya ukiwa na connection ya FISIEMU ....soma ishu za uongo na management ni nzuri sana.
Uncle alisoma hizo katolewa kweny ualimu angalau sasa ni afisa maendeleo.
Lete comments zako na ushauriNashangaa akisem haijajili wakat masters na phd wanajiliwa na akisem usome nje ya kozi yako huajiliw huyu jamaa ni msomi kwel au ni vile alisoma zamani
Nafanya biashara pia, ila naona kuna vitu bado nahitaji kuwa navyo vije kunipa backup badae naamin ktika elimuBdo unawaza kuajiriwa? Kwann pesa iyo usiitumie kuwekeza kwny biashara nk.
Alisoma business administration ila nashangaa ni afisa maendeleo.Naweza kupata full name ya hyo master degree yake
OkayAlisoma business administration ila nashangaa ni mkuu afisa maendeleo.
Yah Mimi nimshauri apambane kusonga Mbele no matter whatBas muach kijan asome mbon kampuni nying wanachukuliwa wa masters degree na phd