Naomba ushauri kuhusu kuoa

Neno araf ndo mini
 
ndoa ni maelewano tu na kumtanguliza Mungu. haijalishi ni kabila gani. ingekuwa hvo basi watu wa njombe ndoa kusingekuwa na walioachika
 
Nyie watu bana Mungu awasaidie tu
Unampa moyo wa kinafiki mtanga wa watu at the end of the day unamuachia maumivu, shame on u
 
Hakuna kitu nisichokipenda na ku hate kama kupotezewa muda .. Let me tell my hubby to be kuwa I want to marry mwanaume atokaye mkoani kwangu .( kama atakubali ) ... Haahaaaa. Honestly ingekuwa Makabila moja ndio yana make Ndoa kudumu or Kuwa Imara .. I would probably be the first person to marry my own tribe . Dear stop lying of your self and that sister of mine .. Ndoa hujengwa na Mungu , plus two people , husband & wife .. Since now Moyo haupo hapo kwa my sister , leave her alone , Andthen go uko kwenu unakoaamini mke mwema wako yupo . I feel so sorry for her.. Please I beg usiendelee kupoteza muda wake .. . Thanks ..
 
wakati wenzako tukioa wife materials[wanawake wanaofaa kua wake] wewe unapambana kuoa kabila. usijisumbue kwenda njombe, we pita pita mitaa ya kimboka ama sinza mori kati ya wale wadada kuna wabena na wakinga lukuki. utakomboa muda, nauli na usumbufu wa kwenda njombe!
 
Simama na mkeo.
Laana isio Haki haimpigi mtu
 
Mkuu sikuhiz sio km zaman kuamin kabila moja ndio utapata mke bora mambo yamebadilika sana angalia vigezo vya mke bora tu na oa utakaye mpenda
 
 
Unaijuaje amani iliyopo ndani ya ndoa za jirani zako? Jiandae Kuwa mvumilivu tu utakaa na kabila lolote lile, pia unapoamua kuoa uache kukwepa majukumu yako kama Baba, uchoyo, ubahiri na uwajibikaji ni jukumu lako. Baba hajitambulishi kwa jana bali wajibu wako kifamilia ndio unaokutambulisha Kuwa wewe ni Baba. Ila ukabila utakukosesha mke mwema. Usiamini hicho kitu kwakua umetuambia ushakua na uhusiano na makabila tofauti na WANAKUPENDA, unataka nn tena?
 
"huu Ukabila sasa hadi 2016 hizi ishu bado zipo?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…