Heeee ukabilanaizeshen alokwambia ukimuoa mtu was kabila lako ndo mtakua na aman ni nani?? Acha ushamba wa kuendekeza makabila makabila kwahy kama ulikua unajua unataka mkinga mwezio huyo bint wa watu ulomfirigisa utampeleka wapi..kama ulikua unataka kuoa kwenu usingekua kwenye mahusiano ungesubir muda wako ufike uende njombe ukaoe urud na mkeo daisaama..