feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 8,535
- 17,218
Hata CO boss,unajua shida ya nchi yetu nesi halipwi vizuri hasa private omba upate serikalini ndo utapata pesa nzuri halafu ukiwa CO una uwanja mapana zaidi wa kujiendeleza kwa kozi mbali mbali za afya tofauti na nesi yote kwa yote hapa sio kumpotosha nazungumza kwakuwa nipo kwenye hii kada na hayo nashuhudia
Ndugu mtoa mada uchaguzi ni wako ila kumbuka usijenge nyumba barabarani
Ndugu mtoa mada uchaguzi ni wako ila kumbuka usijenge nyumba barabarani
Hivi Kati ya nurse na Co Nani mwenye uwanja Mpana wa kufanya kazi,, nachokijua nurse ndiye anaeweza kufanya kazi sehemu yoyote kuanzia serikalini, NGO'S, hospitali binafsi na kila sehemu ya Afya kwa department yeyote Ile inamuhitaji nurse unlike Co so usimpotoshe kama unamshauri aende Co kutafuta sifa ya kuitwa dakitari na kutembea na makoti kwenye korido za hospitali Sawa, but sio kusema Co ina uwanja Mpana wa kufanyia kazi uki_compare na nurse.