Naomba ushauri kuhusu kozi yakusoma

enoel

Member
Jun 14, 2019
26
1
Naombenii ushauri jamni nimechaguliwa kwendaa chuo cha midwive&nursing lakin sitakii hiyo course nilikuwa naitajii kwenda clinical officer nitafanyaje.Na kuna uwezekano wa kusoma diploma na kunganishaa mpakaa degree na ni miaka mingapi??
 
Funguka chuo gani na je ulipangiwa na serikali(direct kutoka form 4) au uliomba mwenyewe?
Naombenii ushauri jamni nimechaguliwa kwendaa chuo cha midwive&nursing lakin sitakii Io course nilikuwa naitajii kwenda clinical officer nitafanyaje.Na kuna uwezekano wa kusoma diploma na kunganishaa mpakaa degree na ni miaka mingapi??
 
Iko chuo hakina clinical officer?
 
Naombenii ushauri jamni nimechaguliwa kwendaa chuo cha midwive&nursing lakin sitakii Io course nilikuwa naitajii kwenda clinical officer nitafanyaje.Na kuna uwezekano wa kusoma diploma na kunganishaa mpakaa degree na ni miaka mingapi??
acha kufuata mkumbo ww soma hiyo kozi uliyochaguliwa ni nzuri
 
Mkuu kozi za afya nzuri lakini Co ni pesa hiyo kuliko nesi japo nesi ni moyo wa hospital...nenda CO uwe na uwanja mkubwa wa kufanya kazi
Hivi Kati ya nurse na Co Nani mwenye uwanja Mpana wa kufanya kazi,, nachokijua nurse ndiye anaeweza kufanya kazi sehemu yoyote kuanzia serikalini, NGO'S, hospitali binafsi na kila sehemu ya Afya kwa department yeyote Ile inamuhitaji nurse unlike Co so usimpotoshe kama unamshauri aende Co kutafuta sifa ya kuitwa dakitari na kutembea na makoti kwenye korido za hospitali Sawa, but sio kusema Co ina uwanja Mpana wa kufanyia kazi uki_compare na nurse.
 
Uzur wake n nn?
Uzuri wake hauwezi kukaa mtaani kulia lia hauna ajira unless umetaka mwenyewe, pia nurse anafanya kazi maeneo mengi Sana, hakuna sehemu haimuhitaji nurse, mfano damu salama nurse anafanya, hospital anafanya, NGO'S anafanya na sehemu nyingine kama clinic, maduka ya madawa e.t.c, unlike Co Yuko limited na utabibu tuu but shida ya nurse ni heshima iko chini as yuko regarded as msaidizi wa dakitari kitu ambacho sio kweli na pia nurse mwenye diploma na Co wote mshahara Sawa so usidanganywe kwamba Co ana mshahara mkubwa kuliko nurse, ni hayo tuu amua mwenyewe ufanye lipi.
 
Sante sanaa

Afu sorry kaka unaweza kuweka marks zako hapa za masomo ya sayansi tukushauri vizuri zaidi maana kuna kozi za afya ambazo zina market kwa wakati huu kuliko hiyo CO au Nurse
Sante sanaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom