Naomba ushauri kuhusu GPA hii

Naomba ushauri kuhusu GPA hii

westandtogether

Senior Member
Joined
Jul 8, 2020
Posts
175
Reaction score
253
Habari wakuu,

Naomba ushauri kwa mdogo wangu ana diploma ya electrical engineering GPA 2.9 anahitaji kuendelea na degree afanyaje kupata chuo kwa kozi hiyo?
 
Hapo hawez kupata chuo kwa ngaz ya degree kwa kuwa hajakidhi vigezo vya TCU minimum requirements ya GPA 3.

Hatua ya kufanya ni hii, aende Open University centre iliyokaribu nae, akachukue fomu ya kujiungana na Foundation program inayotolewa chuon hapo kwa wale waliopungukiwa na sifa kujiunga vyuo vikuu yan GPA below 3,

Utasoma kwa miez 6 au mwaka kupitia distance learning, ukimaliza ukipata GPA above 3, cheti hicho unaambatanisha pamoja kwa kuombea degree yako kweny vyuo bongo.

Hiyo ndo option pekee ambayo imetolea na TCU kweny guideline yao.

All the best!
 
downloadfile(2).jpg
 
Back
Top Bottom