Naomba ushauri kuhusu dini

wewe jamaa naona kichwa chako kimeshachoka , post 609 ndio nimekupa majibu Sunan an-Nasa'i 4063
naona unarukia tena kwingine , alafu hoja ya hiyo hadith ulirukia tu nilimjibu mwingine ukarukia tu kuvuruga

Kanisani natumia SEPTUAGINTA ,KJV na BHN na zingine za kiswali nasoma ili kupata maana kwa urahisi


Halafu endelea kusoma hii


Sisi Waislamu tunaamini kwamba Bwana Yesu a.s.alikuwa Nabii wa Mungu. Na manabii wote ni watukufu na wapendwa wa Mwenyezi Mungu.

Wanatoka kutokakoo takatifu. Kuhusu ukoo wa Bwana Yesu Kristo Masihi Mwana wa Mariamu a.s. Qur'an Tukufu inaeleza kwamba:

A. Masihi bin Mariamu siye ila ni Mtume tu, bila shaka mitume wote wamekwisha fariki kabla yake, na mama yake ni mwanamke mkweli. (Qur'an 5:76).

B. (Ewe Mariam) baba yako hakuwa mtu m’baya wala mama yako hakuwa asherati. (Qur'an 19:29).

Kwa hiyo sawa na mafundisho ya dini ya Kiislamu tunamheshimu Nabii Isa a.s. (Yesu Kristo) na vile vile wazee wake.


Sisi tunashangaa sana wakati tunaposoma Biblia, tunaona Biblia inamfedhehesha Yesu Kristo vibaya sana.

Licha ya kuwa Mtume wa Mungu sawa na Biblia, Bwana Yesu haonekani hata mtu mwenye ukoo safi, bali tunalazimika kumtafautisha Isa a.s. na Yesu.

Biblia inasema kwamba:

1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).

2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo 1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1).

3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18).

4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).

Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu. Lakini sisi hatukubaliani na Biblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia.

Na kama Wakristo wanang’ang’ania usahihi wa Biblia, basi wajuwe kwamba Biblia inasema:

“Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2).

Enyi ndugu Wakristo! Kama mnaona kwamba Biblia bado ni sahihi basi mjue kwamba Yesu ni kizazi chawazinifu, hawezi kuingia katika mkutano wa Mungu.

Kama hawezi hata kuingia katika mkutano wa Mungu, ninyi mnategemea nini?
 
Naona una copy na ku paste haujengi unachtaka kufikisha ,
tengeneza hoja weka andiko, au ndio unaenda kule JW unacopy tu
Anza na andiko la kwanza Jenga hoja yako nini
ulisahau ulileta kitu gani , ukarusha mawe kwenye nyumba ya watu wakati yako ni ya vioo ??
 
ulisahau ulileta kitu gani , ukarusha mawe kwenye nyumba ya watu wakati yako ni ya vioo ??
Leta andiko la kujibu nilichoweka ndio dabate inaenda wewe una copy ma kitu marefu unapachika tu

Ilikuwa hivi
LOuYA said "Hakuna kulazimishana katika dini ya uislam, u are free to choose..."
Mimi nikamwekewa maneno ya Muhammad , "Muhammad said: 'Whoever changes his religion, kill him.'"Sunan an-Nasa'i 4063
 
Leta andiko la kujibu nilichoweka ndio dabate inaenda wewe una copy ma kitu marefu unapachika tu

Ilikuwa hivi
LOuYA said "Hakuna kulazimishana katika dini ya uislam, u are free to choose..."
Mimi nikamwekewa maneno ya Muhammad , "Muhammad said: 'Whoever changes his religion, kill him.'"Sunan an-Nasa'i 4063

Nikakuuliza Sunan an-Nasa'i ni kitu gani hujajibu

Na mimi nimekuwekea maneno ya Mungu wenu

Kill People Who Don’t Listen to Priests


Anyone arrogant enough to reject the verdict of the judge or of the priest who represents the LORD your God must be put to death. Such evil must be purged from Israel. (Deuteronomy 17:12 NLT)

Kill Witches
You should not let a sorceress live. (Exodus 22:17 NAB)

Kill Homosexuals
“If a man lies with a male as with a women, both of them shall be put to death for their abominable deed; they have forfeited their lives.” (Leviticus 20:13 NAB)

Kill Fortunetellers
A man or a woman who acts as a medium or fortuneteller shall be put to death by stoning; they have no one but themselves to blame for their death. (Leviticus 20:27 NAB)

Death for Hitting Dad
Whoever strikes his father or mother shall be put to death. (Exodus 21:15 NAB)


Death for Cursing Parents


1) If one curses his father or mother, his lamp will go out at the coming of darkness. (Proverbs 20:20 NAB)
2) All who curse their father or mother must be put to death. They are guilty of a capital offense. (Leviticus 20:9 NLT)

Death for Adultery

If a man commits adultery with another man’s wife, both the man and the woman must be put to death. (Leviticus 20:10 NLT)

Death for Fornication
A priest’s daughter who loses her honor by committing fornication and thereby dishonors her father also, shall be burned to death. (Leviticus 21:9 NAB)

Death to Followers of Other Religions


Whoever sacrifices to any god, except the Lord alone, shall be doomed. (Exodus 22:19 NAB)

Kill Nonbelievers

They entered into a covenant to seek the Lord, the God of their fathers, with all their heart and soul; and everyone who would not seek the Lord, the God of Israel, was to be put to death, whether small or great, whether man or woman. (2 Chronicles 15:12-13 NAB)
 
Bado sijafanya maamuzi japo nasukumwa sana na moyo wangu ila sielewi nifanye nini? Nibak ambapo nimezaliwa au niende moyo wangu unapopataka? Itakuaje??
Fanya vile moyo wako unapenda maisha ni yako hata kaburini utaenda peke yako
 
Huwa naumia roho yangu nikiona mikwara ya kutishana badala ya kuelimishana! Nimezaliwa kwenyw uislam lakini nimekua nawaza ukiristo sijapenda hivyo yaan sijawaza kubadilika ila mabadiliko yamenipenda na kule nimekuta hakuna kutishana bali kuna kuelimishana na kuhubiriwa kwa lugha ninayoielewa kiswahili, ninaomba na kusali ninachokielewa! Kwahiyo mkuu usinitishe hakuna aliyekufa akafufuka akaeleza aliyoyakuta huko! Hata yesu sijui kama alisema kwa mungu kukoje au unielekeze
Waweza kuwa Sahihi kwamba umezaliwa kwenye uislamu ila umeongopa kuhusu kusoma Madrassa na kuijua dini ya kiislamu vilivyo.
Mwenye kuujua uislamu si rahisi kuritadi kama unavyotaka kufanya wewe.
 
Kumbe Una copy Na kupaste bila hata kujua nini unachokopia?
Naona umerudi tena ku jump like monkey 🐵🐒

Jikite kwenye content , swala la kuhoji sunan kawahoji waislamu wenzanko , tunajadili mliyopitisha na Kuweka ulimwengu tusome

"Muhammad said: 'Whoever changes his religion, kill him.'"Sunan an-Nasa'i 4063

Hicho ndicho mmeandika na kutuwekea na kuita Sahih
 
Naona umerudi tena ku jump like monkey 🐵🐒

Jikite kwenye content , swala la kuhoji sunan kawahoji waislamu wenzanko , tunajadili mliyopitisha na Kuweka ulimwengu tusome

"Muhammad said: 'Whoever changes his religion, kill him.'"Sunan an-Nasa'i 4063

Hicho ndicho mmeandika na kutuwekea na kuita Sahih

Unakimbia kimbia lakini sikuwachi , hiviu hicho ulichokopi unajua maana ya

Sunan an-Nasa'i ???

Au copy and paste Tu ujaze server?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom