Naomba ushauri kuhusu dini

Familia yeyote, ikisikia Baba dini hii Mama dini hii, tegemea kupata watoto wasio kuwa na msimamo na dini yeyote.

Maana tangu kuzaliwa kwao kutoka kwa wazazi wasioujua Msikiti wala Kanisa, hawana mafundisho yanahusu dini.

Hivyo alieleta mada hii hapa ni zao la ndoa ya kwa mkuu wa Wilaya. Tena afadhari huyu anaetafuta dini akiwa mtu mzima na Watoto wake, naamini hajui kitabu chochote siyo Bibilia wala Qurani.
Mwenye kujua chochote hawezi kuja kuuliza wapi pa kwenda hapa JF.
 
NAOMBA KWANZA ICHUNGUZE MISINGI ZA IMANI HIZI 2 KAMA ZINAVYOJIELEZA.

UKRISTO
- Ni kuamini katika UTATU yaani Mungu,Mwana wa Mungu na Roho Mtakatifu.
-Kuamini kusulubiwa,kufa na kufufuka kwa Yesu.
-Kuamini hakuna maombi yanayoweza mfikia Mungu bila kupitia kwa Yesu.
-Kuamini kuwa Yesu pia ndiye Mungu mwenyewe mkuu.


UISLAMU
-Kuamini kuwa Mwenyezi Mungu ni mmoja na hana wa kufanana naye Duniani na Mbinguni.
-Kuamini kuwepo kwa Malaika na utendaji wao.
-Kuamini Vitabu vyake vyote Mwenyewe Mungu vikiwemo Torati,Zaburi,Injili na Quran.
-Kuwaamini Mitume wote walitumwa na Mwenyezi Mungu akiwemo na Yesu.
-Kuamini katika Qadar yake Mwenyezi Mungu,yaani matokeo yote ya kheri na Shari ni katika ruhusa yake.
-Kuamini kuwepo kwa siku ya mwisho,siku ambayo watu wote watafufuliwa kwa ajili ya hesabu ya matendo yao.


Mkuu!Ukijikita katika kuchunguza MISINGI hiyo ya IMANI,nina hakika utapata majibu ya wapi ufuate japo kwa kuanzia.Asante.
 
Ibrahimu aliambiwa atoke nchi yake ya Uru kwenda Kaanani akiwa mtu mzima kuzidi wewe. Jambo la muhimu kuwa kama kweli ni Yesu kakuchagua Yeye mwenyewe atakuonyesha njia. Hapa JF utaambulia upotoshwaji tu.
 

Fanya kile kinachokupa Amani ya moyo wako…
 
Mo
Bado sijafanya maamuzi japo nasukumwa sana na moyo wangu ila sielewi nifanye nini? Nibak ambapo nimezaliwa au niende moyo wangu unapopataka? Itakuaje??
Moyo wako unao wewe nafsi yako ni wewe kama huko mbele kutakuwa na la kuulizwa utaulizwa wewe mkuu siyo wazazi wako na hili wengi hatulijui tunajikuta tunakufa na tai shingoni kisa wazazi wetu wapo hivi wapo vile.

Haiwezi kuwa from no where tu iwe hivi kuna kitu kinakusukuma omba Mungu akuongoze ktk njia sahihi japo bado hajakuacha
 
Kwa yanayoendelea duniani ktk hiyo dini hata ningekuwa mimi humo nisingekaa.

Jana tu nilikuwa nabishana na wenye hiyo dini humu kuhusu waislam huko Nigeria kumchoma moto akiwa hai bint wa Kikristo kisa kadhihaki sijui mitume,yaani utu hamna kabisa bora shauri mtu awe atheist usizidi kumpoteza
 
Muislam
 
YESU NI MUNGU!NA BILA KUPITIA KWA YESU MUNGU,HUTOMFIKIA MUNGU!.

Maajabu kweli hayata kwisha hapa duniani.
Ukibakiza hivi vitu kama vitu 'concrete' hutaelewa, mpaka uvipeleke viwe 'abstract' zaidi ndo utaelewa; We hushangai tunaposema Yesu ni Mungu, na hatusemi Mungu ni Yesu......... hushangai kwamba tunatambua na kuamini Yesu ni Mwana wa Mungu hapohapo?
 
Wewe siyo MUISLAMU.
 
Asante sana!
 
siku za binadamu aliyezaliwa na mwanamke ni chache Sana za kuishi duniani.
CHAGUA KWA USAHIHI USIJE UKAJA KUSEMA LAITI NINGEJUA.
 
Ukibakiza hivi vitu kama vitu 'concrete' hutaelewa, mpaka uvipeleke viwe 'abstract' zaidi ndo utaelewa; We hushangai tunaposema Yesu ni Mungu, na hatusemi Mungu ni Yesu......... hushangai kwamba tunatambua na kuamini Yesu ni Mwana wa Mungu hapohapo?
Mkuu!Mimi naamini katika UZIMA WA MILELE kama alivyo ueleza Yesu mwenyewe:-

Yohana 17:3

Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.




Lakini sarakasi nyingine sizihitaji hata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…