Midozenj01
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 410
- 385
Hope mko poa wakuu.
Mie mdogo wenu nimekuja kuomba ushauri issue iko hivi...
Mwaka 2017 nimehitimu Diploma yangu Chuo cha Mbeya, mwaka huo huo nikaunga Digrii katika Chuo cha DIT ambapo soon mwezi ujao naenda kumalizia masomo. mwaka huu niliitwa interview kwenye Institution moja hivi ya private ipo mjini. Sasa issue ipo kwenye swala la kukatwa pesa na loan board...
Swali
1. Hivi hawa jamaa watanikata pesa yao ilhali sijamaliza masomo au watasubiri mpaka nimalize ndio waanze makato yao?
2.Pia ningependa kujua kikokotoo cha malipo ya jumapili na kikokotoo cha overtime coz natakiwa kufanya kazi from sa 1 hadi moja means 4 hours ni overtime?
3.Je ni makato yapi ambayo sitaweza kuepukana nayo? mfano Bodi, NSSF etc
Kwa maelezo yangu yaliyo rough naombeni mniwie radhi ila hope nitakuwa nimeeleweka.
Natanguliza shukrani za dhati na Ahsanteni sana Malegendary for your concern.