Lindembwee
Senior Member
- Aug 15, 2018
- 144
- 94
Habari wakuu, mwenye uelewa na hizo program courses kwa pale UCC, ipi kati ya hizo ina fursa Kubwa ya kujiajil au hata kuajiliwa kwenye organizations .
Karibuni.
Karibuni.
Nina degree ila sio ya a/cAccounting packages mfano tally quick books na pitchtil hizi zipo poa sana ila itapendeza kama una qualification zingineza accounts yn izo packages ziwe kama ziada
Bank and financedegree ya nin maana kuna relevant ya short courses kwa kila degree maana hizo packaging ni added advantage kwa mtu wa ac sasa mfano usome hr izo zitakusaidia nin
Yeah naweza nikafanya ile mitihani ya bodi, CPB ... Certified professional banker. . mimi shida yangu ni kuwa na additional testimony ambayo itanipa creditability kidogo, but concerning In computer career...bankers si mnaule umoja wenu kwanin usiende kusoma special courses izo accounting packages ziwe kama ziada maana izo packaging hata vyuo vya mtaani zinafundishwa
Ni kweli, ila hiyo koz isiwe ya mda mrefu sana, time consideration it is very vital, afu ningependa iwe ime base kweny computer field, bcos napenda afu nipo very interested, tatizo nisome niniNiko tofauti kidogo na mtoa post, hivi ni kwa nini asijifunze chochote kile anachokiona kuwa kinaweza kutatua changamoto kwenye jamii yake pasipo kutafuta ajira?
Soma BIT mkuu,hasa kapige pale HQ kna walimu wazuriHabari wakuu, mwenye uelewa na hizo program courses kwa pale UCC, ipi kati ya hizo ina fursa Kubwa ya kujiajil au hata kuajiliwa kwenye organizations .
Karibuni.
Una maanaisha pale main cumpus udsmSoma BIT mkuu,hasa kapige pale HQ kna walimu wazuri
Nipe nondoo kuhusu hii kozi, naweza kuwa self employed?Una maanaisha pale main cumpus udsm
Yeah mkuuUna maanaisha pale main cumpus udsm
Ndio mkuu,ndani humo kna hizo a/c package,kna accounts,businesslaw,i.t,system, entrepreneur,masuala ya organization behaviour na vngne vingi mkuu,so unakua umepata mafunzo ya v2 vingi ndan ya kozi mojaNipe nondoo kuhusu hii kozi, naweza kuwa self employed?
Dash safi, hayo ndio mambo nilikuwa nayataka sana , kesho nitaenda HQ, kujua utaratibu na nk.Ndio mkuu,ndani humo kna hizo a/c package,kna accounts,businesslaw,i.t,system, entrepreneur,masuala ya organization behaviour na vngne vingi mkuu,so unakua umepata mafunzo ya v2 vingi ndan ya kozi moja