NAOMBA USHAURI JUU YA UBORA WA MAFUNZO YA UCC Vz LEARN IT | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NAOMBA USHAURI JUU YA UBORA WA MAFUNZO YA UCC Vz LEARN IT

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kimla, Jan 21, 2012.

 1. K

  Kimla JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2012
  Joined: Jun 8, 2008
  Messages: 1,499
  Likes Received: 1,378
  Trophy Points: 280
  Ndugu zangu,

  Nina mdogo wangu kamaliza Form four nataka asome computer courses hasa Ms,word, excel, powerpoint ETC.Je wapi ni mpeleke ambapo wanaweza kumfunza computa na akaelewa, kati ya UCC na LEARNIT au pengine mnapopafahamu kuwa ni bora.

  Asanteni
   
 2. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nenda IIT
   
 3. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 1,764
  Trophy Points: 280
  nenda chuo cha new horizons hawa jamaa wapo nondo mbaya...........kuliko vyuo vyote tanzania........ucc hamna chochote wala learn it........mimi nilisoma short course ya computer application uozo mtupi
   
 4. K

  Kimla JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2012
  Joined: Jun 8, 2008
  Messages: 1,499
  Likes Received: 1,378
  Trophy Points: 280
  Asante wakuu kwa kunijulisha.Je hii new horizon wako sehemu gani Dar?
   
 5. K

  Kimla JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2012
  Joined: Jun 8, 2008
  Messages: 1,499
  Likes Received: 1,378
  Trophy Points: 280
  DAZIPOZI, IIT NI WAPI HAO? JE GHARAMA NI KIASI GANI KWA BEGINNERS? Ndugu cPROGRAMMING, JE NEW HORIZONS fee ni kiasi gani kwa beginners?

  Asante
   
Loading...