Naomba ushauri juu ya mimba isiyo na baba

Naomba ushauri juu ya mimba isiyo na baba

Naboti

Sio kweli mwanamme atoke atokako akupige tu lazima kuna sababu ingawa hata kama kuna sababu hapaswi kukupigia kibinadamu.

Lakini kama mwaname mumeachana kurudina ni lazima kuwe na ridhaa ya nyote wawili hata kama una ujauzito wake.(Nakusudia nyinyi ikiwa ni waislamu na ndoa mlifunga hivyo kwa taratibu za kiislamu)

Kwa ufupi lea mimba yako mazae mtoto wako salama ata akija akijuwa akisikia kwamba una mtoto wake utakachokubali wewe ni aje na huduma za mtoto tu. na hata kama akimuhitaji mtoto wake mpe achukue lakini sio kurudiana naye wewe na kulala naye kitanda kimoja.

ukishazaa tafuta anayekupenda kwa mapenzi ya heshima na ya dhati muoane muanze maisha mapya huyo ulokuwa naye si mume ni gumegume tu.
 
Last edited by a moderator:
Ananipiga na mzigo anakula kama hivi sasa matokeo hayooo wakati tumeshatengana
Khaa!! Huyo labda kupiga ndiyo inamuongezea stim za kula mzigo. Atakuwa na vichembechembe vya familia ya Drosophila melanogaster ambao dume lazima ampige jike ndiyo mzigo uliwe. Solution yake ndogo sana tafuta gloves za mabondia na punching bag basi ila tu ukumbuke calendar
A%20S%20shade.gif
 
Baada ya kipigo mgegedano huwa hot hot, si unaona hadi Dada kaachia goli...jaribu uone, ila at your own risk manake chance ya kumimbana kubwa.
 
Labda ungefiikiria mlianzaje mpk kufikia ndoa, isije ikawa ndoa ya kusema kwa sababu mna mimba n.k maana saa nyingine mtu anakufanyia vimbwanga ili uondoke akijua alikubali mwenyewe kuingia kwenye ndoa. Fanya utakaloona sahihi na litakalokupa amani. Iwapo unaamini katika Mungu fanya maombi ya kufunga.
 
Hebu funguka usaidiwe, anapokupiga huwa unakuwa umefanya kitu gani anachokitumia kama kisingizio/sababu? Mtu hawezi kuanza kukupiga hivi hivi tu, kuna chanzo.
 
Hebu funguka usaidiwe, anapokupiga huwa unakuwa umefanya kitu gani anachokitumia kama kisingizio/sababu? Mtu hawezi kuanza kukupiga hivi hivi tu, kuna chanzo.

Kuna Mshikaj Wangu, Akilewa Huwa Na Tabia Hii...Juzi Juzi Tuu Hapa Alinirukia Kichwa Nikamkwepa Hiyo Ni Tumekutana Tuu Hiiv.....Yy Akilewa Anayo Hii Tabia. Hii Utasema Ni Pombe, Ila Fahamu Kuna Watu Wana Tabia Za Ajabu Mimi Sishangai.
 
Tuwe tunakumbuka kuwaombea na wenzi wetu, kuna mambo wanafanya sio kwa akili zao
dunia imevaa braa hii, hata huyo anaekupa kipigo bila sababu wala sio akili yake
pole, huna haja ya kutoa mimba tena mjulishe una mimba yake na kila mtu aendelee na ustaarabu mwingine
 
Kuna Mshikaj Wangu, Akilewa Huwa Na Tabia Hii...Juzi Juzi Tuu Hapa Alinirukia Kichwa Nikamkwepa Hiyo Ni Tumekutana Tuu Hiiv.....Yy Akilewa Anayo Hii Tabia. Hii Utasema Ni Pombe, Ila Fahamu Kuna Watu Wana Tabia Za Ajabu Mimi Sishangai.

Teh enzi tunasoma kuna jamaa nae alikua hivo
anapenda mitoko na washkaji ila akilewa lazma apigane yani ni lazma ha ha ha baada ya kulewa kila mtu anashika njia yake
afu asubuhi na mapema anawahi kuja kuomba msamaha
 
Duh....hivi hata huko kudinyana kunanogaje sasa ilhai mnakuwa mko kwenye hali ya kivita?

Ndoa zina mambo hizi.....
 
wewe kama sio askari magereza basi una ndugu askari magereza
 
Teh enzi tunasoma kuna jamaa nae alikua hivo
anapenda mitoko na washkaji ila akilewa lazma apigane yani ni lazma ha ha ha baada ya kulewa kila mtu anashika njia yake
afu asubuhi na mapema anawahi kuja kuomba msamaha

Huyu Mchiz Wangu Ni Noma!! Akilewa Uwa Tunakua Standbay...Alafu Yy Uwa Kesho Yake Akumbuki Kitu!! Kwenye Mitoko Yetu, Uwa Tunamchunga Sana..Na Kuna Muda Anasema Mwenywe " Jaman Nina Hamu Ya Kupigana" Ni Mchiz Wangu Sanaaaa Yaan Lakin Shida Yake Ndio Hiyo!!!
 
Kuna Mshikaj Wangu, Akilewa Huwa Na Tabia Hii...Juzi Juzi Tuu Hapa Alinirukia Kichwa Nikamkwepa Hiyo Ni Tumekutana Tuu Hiiv.....Yy Akilewa Anayo Hii Tabia. Hii Utasema Ni Pombe, Ila Fahamu Kuna Watu Wana Tabia Za Ajabu Mimi Sishangai.

Hahahaha! Dah! Duniani kuna vioja! Ila sasa hiyo ni serious mental case inayotokana na mtu kushindwa kuimudu pombe na anahitaji msaada wa ushauri nasaha maana ni dalili kuwa akiwa mzima anakuwa na hasira na vitu fulani asivyoweza kuvieleza wala kuvilalamikia na anajizuia sana ila akinywa, ile guard inayomfanya awe na uwezo wa kujidhibiti inashuka na anakuwa hawezi kujizuia kujiexpress kwa vitendo. Inawezekana anakuchukia kwa kitu fulani au ana historia ya kuonewa, ni muoga, au bully wa aina fulani.
Bado tunarudi palepale, lazima kuna sababu inayomfanya ampige mkewe. Yaani kuna kitu kinachomfanya awe na chuki kwa mkewe.
 
Duh....hivi hata huko kudinyana kunanogaje sasa ilhai mnakuwa mko kwenye hali ya kivita?

Ndoa zina mambo hizi.....

NYani ngabu upo wapi mzee leo hujagegeda mke wa mtu au upo likizo. Much appreciated.
 
Duh....hivi hata huko kudinyana kunanogaje sasa ilhai mnakuwa mko kwenye hali ya kivita?

Ndoa zina mambo hizi.....

Mr Richard Mugizi we jaribu tuu, tena na ile mihasira mwili unakuwa wa motoooo, yani utatamani mpaka upigane ndo mfahamiane...
 
Mr Richard Mugizi we jaribu tuu, tena na ile mihasira mwili unakuwa wa motoooo, yani utatamani mpaka upigane ndo mfahamiane...

Heheheeee Richard Mugizi in da hauz......

USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:.
 
Back
Top Bottom