Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,376
Inaonekana mlikuwa na matatizo na mumeo tangu kipindi cha uchumba wenu, lakini ukachukulia poa tu. Now ndo unaanza kujuta anyway hayo yalishapita.
Hakuna mtoto asiye na baba, na mumeo ana haki ya kujua kuhusu ujauzito wako kwa kuwa yeye ndo mhusika. Na mwisho wa siku anatakiwa amlee na kumtunza mwanae kwa hiyo wewe mwambie tu, ila usirudi kwake kwanza. Hakawii kukupiga hadi mimba itoke. Ingawa natamani nijue nini kimempata hadi anaanza kukupiga tu hovyo. Muweke kwenye maombi, ndoa nayo ni vita my dear