Naomba ushauri juu ya kifaa nnachohitaji hapa

gasgas

JF-Expert Member
Jan 25, 2015
1,090
978
Nina TV yangu Hisence LED.

Nataka niipe uwezo wa kuwa smart TV.

Interest yangu ni kuwa niweze
1. Kuaccess Netflix
2. Kuaccess youtube na kustream huko
3. Kuaccess football streaming applications kwa ajili ya kuangalia mechi mbali mbali za mpirs nje ya dstv

Naambiwa nahitaji kuwa na android tv box.

Aina gani inanifaa? Upatikanaji na bei zake ziko vipi??

Asanteni
 
Hizo Android box zipo,kwa Dar kuna jamaa anauza huko posta kwa 160,000 mpaka170,000 no yake ni 0715473462 anaitwa Biggie
 
Hizo Android box zipo,kwa Dar kuna jamaa anauza huko posta kwa 160,000 mpaka170,000 no yake ni 0715473462 anaitwa Biggie
Naomba kujua

Nnaweza kudownload application ya dstv live kupitia Android box?
 
Nina TV yangu Hisence LED.

Nataka niipe uwezo wa kuwa smart TV.

Interest yangu ni kuwa niweze
1. Kuaccess Netflix
2. Kuaccess youtube na kustream huko
3. Kuaccess football streaming applications kwa ajili ya kuangalia mechi mbali mbali za mpirs nje ya dstv

Naambiwa nahitaji kuwa na android tv box.

Aina gani inanifaa? Upatikanaji na bei zake ziko vipi??

Asanteni
Kama ulivyojibiwa juu, mambo ya kuongeza
Hakikisha hio TV Box inarun android TV ama Fire TV itakuwa optimized kwa TV, utapata voice search na interface itakuwa rahisi kutumia kwa TV.

BEI ni Around laki 1 kwa TV Box nzuri.

Kama budget ndogo zipo hadi za 60,000 Sema ndio hazina Android TV, ni kama simu ama tablet tu muonekano wake.
 
Nina TV yangu Hisence LED.

Nataka niipe uwezo wa kuwa smart TV.

Interest yangu ni kuwa niweze
1. Kuaccess Netflix
2. Kuaccess youtube na kustream huko
3. Kuaccess football streaming applications kwa ajili ya kuangalia mechi mbali mbali za mpirs nje ya dstv

Naambiwa nahitaji kuwa na android tv box.

Aina gani inanifaa? Upatikanaji na bei zake ziko vipi??

Asanteni
Tafuta "Mi TV Stick" hii ipo kama flash tu unaichomeka kwenye TV yako.
header_in_pc.png
 
Back
Top Bottom