Naomba ushauri juu ya hili. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba ushauri juu ya hili.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by buhange, Nov 4, 2011.

 1. buhange

  buhange JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2011
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 494
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Habari wadau! Mimi ni kijana mjasiliamari mdogo.Naomba uzoefu na mawazo yenu juu ya maswala ya mikopo nafuu iwe ya kibenki,SACCOS au NGOz maana mimi si mwajiliwa,sina nyumba wala shamba.Na jina ya benki au NGO husika.Nipo DOMm
   
Loading...