Naomba ushauri jinsi ya kutatua tatizo hili

Niache 2

Member
Joined
Aug 7, 2017
Posts
69
Reaction score
34
Habari za asubuhi wanajf....
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza;,Nimekua na tabia(tatizo) imenianza toka January 2017.....

Liko hivi: nimekua na tabia ya uume kusimama Mara kwa Mara mpaka imekua kero sasa. Sijajua cha kufanya ingawaje nipo kwenye mahusiano na binti wa kichaga toka 2015, ili ukweli ni kwamba sijawahi kufanya naye chochote mpaka sasa(nimejaribu kwa kila namna ila amekataaa, ili hali anadai ananipenda)

Naogopa sana kutongoza maana pengine ningeshafanya hivyo...
Naogopa sana
Yaani nikimsamilia mdada akakataa kuitikia salaam yangu huwa najisikia vibaya sana, je nikimtongoza akataa si ndo nitaumwa kabisa...

Ni kwa namna gani naweza kuepuka matatizo haya

NB:nipo serious and I need help....
Naomba usitanie kama huwezi kunisaidia
 
Tulia mkuuu...kama anakataa tuliaaaa ivo ivooooo.

Anayekunyima mbaazi amekupunguzia mashuzi...usikute kuna kitu anakuepusha kwa miaka yote hiyooo.

Kuhusu uume kusimama nisababu ya Ashiki ( nyege) zimekua nyingi nakuliko kupotea pambana nahali tuu maana hufi.

Ila kuhusu uyo mwanamke wako ...........tulia ..hapa duniani kila kitu kinasababu.
 
Natambua siwezi kufa lakini tatizo litakuwa pale pale bado sijatatua
 
Wewe bado ni mvulana, siku ukiwa mwanaume utaweza kufanya na kufanya maamuzi pia. Hujishtuki miaka miwili yote unanyimwa penzi.
 
Hupaswi kuniambia hivyo ili umeamua kutoa ushauri achana na mambo ya kusema Mimi ni mvulana wewe shauri
 
Sikubaliane na wewe hata kidogo.
Toka lini kubalehe kumekua 21 years?

Kutoka utotoni kuingia utu uzima kuna mabadiliko ya haraka katika viungo, hisiana roho. Kama ilivyo kwa viumbe hai wote, ustawi huo unaweza ukawahi au kuchelewa, lakini kwa kawaida unatokea kati ya umri wa miaka 12 na 16.Wasichana wanawahi kuliko wavulana, na Wazungu kuliko Waafrika, lakini mabadiliko ni yaleyale, nayo yanafanyika hatua kwa hatua.

Kuna wasichana wanavunja ungo wana miaka 18, na kuna wanaume balehe inawaaza miaka 18 mpk 20 wewe utamuoneaje aibu mwanamke ukishapita hiki kipindi Hiyo aibu yote itakwisha.
 
Hupaswi kuniambia hivyo ili umeamua kutoa ushauri achana na mambo ya kusema Mimi ni mvulana wewe shauri
Haiwezekani unakaa na manzi miaka miwili haujapiga hilo nitatizo. Wewe usipopiga wengine wanajipigia. Alafu kitu kingine huyo manzi anakuchukulia wewe kama mvulana/mtoto.
Fanya maamuzi, yafuatayo:
Piga chini huyo manzi kama akiendelea kubana.
Au mtafutie mwenzie
Au jiunge CHAPUTA japo ni hatari kwa afya yako. Amka acha kulala lala
 
Sijui kama nitaweza coz bado nampenda....
Nitajaribu
 
Utakua domo zito a.k.a domo zege. Miaka 21 bado mdogo sana, komaa kwanza. Mapenzi yapo, huwa hayachachi..
Hapa ndo ukomo wa ufikiri wako.....
Asante kwa ushauri wako
 
Kutoka utotoni kuingia utu uzima kuna mabadiliko ya haraka katika viungo, hisiana roho. Kama ilivyo kwa viumbe hai wote, ustawi huo unaweza ukawahi au kuchelewa, lakini kwa kawaida unatokea kati ya umri wa miaka 12 na 16.Wasichana wanawahi kuliko wavulana, na Wazungu kuliko Waafrika, lakini mabadiliko ni yaleyale, nayo yanafanyika hatua kwa hatua.

Kuna wasichana wanavunja ungo wana miaka 18, na kuna wanaume balehe inawaaza miaka 18 mpk 20 wewe utamuoneaje aibu mwanamke ukishapita hiki kipindi Hiyo aibu yote itakwisha.
Kubalehe kunaondoa uoga au.......
Shukrani sana......
 
Back
Top Bottom