Naomba ushauri jinsi ya kutatua tatizo hili

Naomba ushauri jinsi ya kutatua tatizo hili

Wewe usiogope, kueleza mawazo yako kwa mwanamke. Mweleze nia yako, akikukataa tafuta mwingine. Usione vibaya kukataliwa na mwanamke, wapo wengi tu waliochumbia tena kupitia wazazi wao na wakakataliwa. Bob Marley, katika wimbo wake( coming from the cold), alisema hivi:- "When one door is closed, many more are open".
 
Wewe usiogope, kueleza mawazo yako kwa mwanamke. Mweleze nia yako, akikukataa tafuta mwingine. Usione vibaya kukataliwa na mwanamke, wapo wengi tu waliochumbia tena kupitia wazazi wao na wakakataliwa. Bob Marley, katika wimbo wake( coming from the cold), alisema hivi:- "When one door is closed, many more are open".
Asante hichi ndicho nilikuwa nategemea
Hakika ushauri wako una kiwango cha juu
Shukrani
 
Endelea kukua, demu anakuona bado unanuka maziwa ya mama..

Hapo kidume kingine kilichojielewa anamkula huyo unayemwita demu wako..
Ushauri wako ni wa kiwango cha chini bora ungeacha tu
 
ni kuruhusu hisua za mapenzi kutawala kichwa chako namna ya kuepukana na huko kusisimka ni kukipa kichwa nafasi ya kufikiria mambo mengine kwa muda mwingi zaidi kuliko hayo, pia fanya mazoezi ya kutosha hali itakuwa sawa maana hilo si tatizo la kiafya, mie pia nilikuwa ka wewe nilipokuwa na umri wako ila baada ya majukumu kuwa mengi na halihiyo ilitoweka
 
Hupaswi kuniambia hivyo ili umeamua kutoa ushauri achana na mambo ya kusema Mimi ni mvulana wewe shauri
Tatizo wavulana wa sikuhizi hawataki ukweli yaan wanataka waitwe wanaume watu wazima angali bado ni wavulana kubali tu mkuu balehe yako bado haijaisha ipo hot tena nahis hata uso wako bado una chunusi grade one dont rush subiri ukomae vizur
 
Habari za asubuhi wanajf....
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza;,Nimekua na tabia(tatizo) imenianza toka January 2017.....

Liko hivi: nimekua na tabia ya uume kusimama Mara kwa Mara mpaka imekua kero sasa. Sijajua cha kufanya ingawaje nipo kwenye mahusiano na binti wa kichaga toka 2015, ili ukweli ni kwamba sijawahi kufanya naye chochote mpaka sasa(nimejaribu kwa kila namna ila amekataaa, ili hali anadai ananipenda)

Naogopa sana kutongoza maana pengine ningeshafanya hivyo...
Naogopa sana
Yaani nikimsamilia mdada akakataa kuitikia salaam yangu huwa najisikia vibaya sana, je nikimtongoza akataa si ndo nitaumwa kabisa...

Ni kwa namna gani naweza kuepuka matatizo haya

NB:nipo serious and I need help....
Naomba usitanie kama huwezi kunisaidia
Pole sana mdogo wangu wa nne kuzaliwa pole sana
Sasa kwa ushauri tu ni kwamba huo umri ndio unavyokuwa hivyo cha msingi fanya kitu kimoja
Unajua mwanamke ukishindwa kumwambia ukweli maana yake ni kwamba unamtanani ila unamwogopa that means muda wako mwingi unamwaza yeye kingono hali hiyo itakusumbua sana na hasa ukiangalia brain bado iko ktk love moody itakusumbua sana hali hiyo
Hebu ondoa hizo feeling nenda church au msikitini kaa na Mungu fanya mambo ya kujenga maisha yatakuletea wanawake wengi sana itabaki wewe tu kuchagua yupi ni yupi maana hawa wanawake mdogo wangu ni kwa ajili yetu sio upasue kichwa kumtafuta ni yeye atakutafuta kulingana na hali yako kiakili kimaisha na hata kimwenendo
Usiposhinda hiyo hali utaishi kwa kuwaza tu wanawake muda wote hutafanya chochote na mbaya zaidi utasikia amechukuliwa na mwingine na utataka kujiua sasa sio maisha hayo mdogo wangu
Have a nice day
 
Back
Top Bottom