Mungu ibarik
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 3,395
- 11,580
Mwanamke anaanzaje kukutukana? Mi Kila nikiwaza naona umauti wake uko karibu Kama ndo atayakanyaga kwangu.
Tafuta mume mwingine huyo uliye naye ana sifa za uanaumeEti mwanamke anakunyima unyumba anakutukuna imefika wakati wa kulipa kodi bado ananiletea mdomo ninachokitaka hii kodi bora nikalipie sehemu nyingine nipukapumnzishe ubongo.Naomba mnishauri nifanyeje??