paul miteda
Senior Member
- Jan 19, 2023
- 131
- 592
Eti mwanamke anakunyima unyumba anakutukuna imefika wakati wa kulipa kodi bado ananiletea mdomo ninachokitaka hii kodi bora nikalipie sehemu nyingine nipukapumnzishe ubongo.Naomba mnishauri nifanyeje??