Naomba ushauri ili nifanye maamuzi sahihi

Hellow

Guys nina girl friend nampenda sana sana hivi juzi nilimwambia naomba meeting aje na rafiki yake home

Akasema no hawezi kuja labda mimi ndio niende kwake nikakubali kufika pale nakutana na rafiki yake ambaye alikuwaga ex wangu kipindi hiki niko shule ya upili

Sasa kufika pale nikajikausha kama simjui tangu nimekaa pale yule ex amekuwa akinitega sana nikatoka sebleni nikamwambia naenda kupumzika nikiwa room kaja tena kagonga mlango nikamwambia pita

Ndipo akapata nafasi ya kuongea na mimi akasema kuwa amwambie mchumba wangu ukweli wote kuhusu mimi na yeye mahusihano yetu au lah yeye amwambie na nikitaka asijue basi nichague kuludiana na yeye uku akiniongea kwa mitego

Mpaka sasa sijamwambia my lovery lakini yule ex bado anaendelea kutuma mapicha picha na sms za mitego na mimi simu huwa nikiwa na my lovery na mwachia hadi jf mda mwingine ana comment badala yangu

Nifanyeje wakuu
Kaa na mwenza wako, mwelezee kuhusu mahusiano yako ya zamani na huyo binti.
Elezea mpk mlifikia mkaishiana.
Usikubali kufanya makosa bro, hata kama akitaka mpashe tu kataa kabisa.
Kuna hatari ya kukosa bara na visiwani.
Kama si kutegeshewa mimba na huyo x wako, kuachana siyo dhambi ila makosa kurudia sehemu uliona kabisa hapafai other wise iwe vinginevyo.
Hapo kama anatafuta wewe ukose furaha na acheke ukiharibikiwa atakutaka akutunuku ili mkamatwe ama hata apate picha za ushahidi.
 
Ataki kuelewa et ana nipenda na anatak muonesha picha tulizo piga kipindi hiko

Af kipindi hiko nilikuwa na sura pesono sasa tangu nifike dar nimekuwa ka HB flani hivi kwaio now kapagawa sana
[emoji848]unasafari ndefu sana mkuu
 
Hellow

Guys nina girl friend nampenda sana sana hivi juzi nilimwambia naomba meeting aje na rafiki yake home

Akasema no hawezi kuja labda mimi ndio niende kwake nikakubali kufika pale nakutana na rafiki yake ambaye alikuwaga ex wangu kipindi hiki niko shule ya upili

Sasa kufika pale nikajikausha kama simjui tangu nimekaa pale yule ex amekuwa akinitega sana nikatoka sebleni nikamwambia naenda kupumzika nikiwa room kaja tena kagonga mlango nikamwambia pita

Ndipo akapata nafasi ya kuongea na mimi akasema kuwa amwambie mchumba wangu ukweli wote kuhusu mimi na yeye mahusihano yetu au lah yeye amwambie na nikitaka asijue basi nichague kuludiana na yeye uku akiniongea kwa mitego

Mpaka sasa sijamwambia my lovery lakini yule ex bado anaendelea kutuma mapicha picha na sms za mitego na mimi simu huwa nikiwa na my lovery na mwachia hadi jf mda mwingine ana comment badala yangu

Nifanyeje wakuu
!!
JamiiForums1674675587.gif
 
Acheni ujinga fanyeni kazi. Mpende bwana Mungu wako tu. Mengine ni shida za dunia achana nazo
 
Hellow

Guys nina girl friend nampenda sana sana hivi juzi nilimwambia naomba meeting aje na rafiki yake home

Akasema no hawezi kuja labda mimi ndio niende kwake nikakubali kufika pale nakutana na rafiki yake ambaye alikuwaga ex wangu kipindi hiki niko shule ya upili

Sasa kufika pale nikajikausha kama simjui tangu nimekaa pale yule ex amekuwa akinitega sana nikatoka sebleni nikamwambia naenda kupumzika nikiwa room kaja tena kagonga mlango nikamwambia pita

Ndipo akapata nafasi ya kuongea na mimi akasema kuwa amwambie mchumba wangu ukweli wote kuhusu mimi na yeye mahusihano yetu au lah yeye amwambie na nikitaka asijue basi nichague kuludiana na yeye uku akiniongea kwa mitego

Mpaka sasa sijamwambia my lovery lakini yule ex bado anaendelea kutuma mapicha picha na sms za mitego na mimi simu huwa nikiwa na my lovery na mwachia hadi jf mda mwingine ana comment badala yangu

Nifanyeje wakuu
Hilo ni bomu linalipuka mda wowote

Huyo ex ana leverage anayoitumia kupata atakachotaka na ww kwa uoga wako umemkabidhi hiyo leverage

Kama kweli humtak ex mwambie huyo “lovery” ukweli uone ex atakuwa na lipi

Ila kama unamtaka ex jifanye unambembelez aisiseme, akikutega tegeka umle

Yote kwa yote hatma ya maishs yako unayo kiunoni kwako
 
Back
Top Bottom