Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,756
Nimetoka kufanya, so ...... navuta mda kidogo nipitiwe na usingiz
Nimetoka kufanya, so ...... navuta mda kidogo nipitiwe na usingiz
JamaniNimetoka kufanya, so ...... navuta mda kidogo nipitiwe na usingiz
Kwani kuna jipya chini ya duniaJamani
Hunionei hata aibu? 😂 😂
Unaniambia kabisa 🤣🤣🤣 ila poa tu.
Hahahhaa dah ila kipindi cha Musso tulikoma walahy ile kitu ilikua kimeo sijapata kushuhudia. Ilitesa watu wengi sanaUnaijua Ssang Yong Musso!!??
Sura nzuri balaa,tumia sasa uone matatizo yake.
Musso ipo group la SUV prado,defender,fortuner..unailinganishaje na saloon/sedan?Unaijua Ssang Yong Musso!!??
Sura nzuri balaa,tumia sasa uone matatizo yake.
Jamani naomba jibu la hili swali
Town routes 10km/L kwenye safari ndefu up to 11km/LVoltz inatumia mafuta kiasi gani? Kilometres/litre
Bei yake kiasi gani?
Kuna rafiki angu mdada alikua anataka computer akaniambia nimnunulieVoltz ina sura nzuri, naipendea hicho tu vingine hata sijui
Kuanzia million 16 unapataNaomba kujua gharama za kuagiza toyota voltz kutoka nje hadi linaingia barabarani
..Naomba kujua gharama za kuagiza toyota voltz kutoka nje hadi linaingia barabarani
Hii gari ni toyota hilux lite.Tafuta Probox Kaka halafu unishukuru baadaye
No brother.
Haujamuelewa alivyosema "lite" kakaNo brother.
Probox Ina undugu wa karibu kabisa na Toyota succeed.
Just Google it.
It is cheap, cheap to maintain, lasts long and it is a workhorse.
Ni kati ya 14.5mil hadi 15milNaomba kujua gharama za kuagiza toyota voltz kutoka nje hadi linaingia barabarani