Naomba ushauri, gari ipi nichukue kati ya Toyota Voltz na Toyota Ractis 2011

Voltz ina sura nzuri, naipendea hicho tu vingine hata sijui
Kuna rafiki angu mdada alikua anataka computer akaniambia nimnunulie

nikawa namuuliza anataka ya sifa gani? alichonijibu yeye anataka "pink laptop"

kama isipokua pink anataka iwe grey na iwe brand Samsung,hataki sifa zingine

wala hana muda na sifa zingine kakomaa na rangi "pink or grey" brand iwe "samsung" Kamaliza.
 
Naomba kujua gharama za kuagiza toyota voltz kutoka nje hadi linaingia barabarani
..
Screenshot_20210812-083727~3.jpg
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom