Naomba ushauri, gari ipi nichukue kati ya Toyota Voltz na Toyota Ractis 2011

gasgas

JF-Expert Member
Jan 25, 2015
1,090
978
Katika pita pita zangu nimetokea kupenda gari hizi

1. Toyota Voltz
2. Toyota Ractis 2011

Naomba pros and cons za hizi gari.

Mimi shughuli zangu ni hapahapa mjini, sina safari za mbali.

Zote mbili naweza kuzimudu mafuta na matengenezo.

Ipi inafaa hapo?
 
yaani kwa hizo mbili

Toyota Volts ni nzuri sana huwezi kuilinganisha na Ractis.

Ni Imara, inafaa hata kwa rafu rodi, muonekano mzuri, ndani imependeza, Spare zipo ILA ina engine kubwa kuliko ractis hivyo itatumia mafuta zaidi kidogo ukilinganisha na Ractiz
 
Nakushauri kwa kuzingatia jinsia;

Kama wewe ni mwanaume, chukua Voltz

Kama ni mwanamke, chukua Ractis, jitahidi iwe CC 1490

Kuagiza Japan au kununua ya mkononi, nichek 0719972458
 
Probox nzuri sana kwa fuel consumption, ukiichoka pia huchelewi kupata mteja na haishuki saaana bei.....ila kuiendesha kiukweli hiajakaa kiluxury.....
Probox mjini kiukweli hainogiii...
 
Back
Top Bottom