Naomba ushauri: Binti amenidhalilisha sana

Naomba ushauri: Binti amenidhalilisha sana

The Boss In Town tatizo haukuwa mtulivu wakat wa hatari. Ulijali zaidi hisia zako pasipo kuangalia wakat na mazingira kwa wenzako viwembe kama MO11 hapo angecheza na maeneo mtoto mwenyew angevua na angeizamisha mwenyew sasa ww papara zako zmekuumbua. Ona sasa umeshakuwa kibaka
 
Last edited by a moderator:
Oooohhh Kwanza pole sana 2 jua kwamba ni tamaa ndo chanzo cha hayo yote 3 baada ya hayo kutokea cha muhimu sio utetezi bali kukaa silent koz kawaida ya binadamu huwa tunakuwa na mtindo wa kule EDEN ya zamani kwamba huyu ndo source but kwa sasa ni tatzo soo kaa chini shughulikia maisha yako ili kuonesha kwamba ilikuwa badluck na sio maliciously
 
Mjinga mkubwa wewe. Yaani unamtomasatomasa binti wa watu halafu unakuja kuomba ushauri hapa. Kwani ulivyokuwa unataka kumbaka ulikuwa unatarajia nini. Kuvaa kwake nguo fupi sio kwamba alikuwa anakuvalia wewe.

Unamla denda kwani ulikuwa umemlipia mahari? Kama angekuwa mwanao wa kike halafu ukasikia ameliwa denda na kutomaswa na lijamaa ungejisikiaje?

Unakaa kwa kaka yako unakula Sato na Sangara bure unavimbiwa na kujamba ovyo halafu unafanya mambo ya kikumbavu wakati amekuhifadhi kama mkimbizi Mwanza. Jinga kabisa. Wewe ndio umemdhalilisha huyo binti. Tena dakika hii ulitakiwa uwe jela miaka 30 unanyea ndoo.
 
wewe kweli mzembe nina uwezo mkubwa wa kukataa jambo nililolifanya hata kama wameona watu wengi sembuse mmoja tu ??

utakua mchagga wewe wale wazembe wa kishimundu

Wachagga wa Kishimundu wabishi hawalazi masikio kirahisi. Ukitaka ushahidi mwangalie Mrema na ubishi wake.
 
Oooohhh Kwanza pole sana 2 jua kwamba ni tamaa ndo chanzo cha hayo yote 3 baada ya hayo kutokea cha muhimu sio utetezi bali kukaa silent koz kawaida ya binadamu huwa tunakuwa na mtindo wa kule EDEN ya zamani kwamba huyu ndo source but kwa sasa ni tatzo soo kaa chini shughulikia maisha yako ili kuonesha kwamba ilikuwa badluck na sio maliciously

Unampa pole ya nini? Huyo binti angekuwa dada yako au mtoto wako ungempa pole kwa alilo kusudia kulitenda?
 
Labda alikuona kikwazo hapo ndiyo maana akaamua kukutega ili akuondoe. Inaonekana labda kaamua kufanya hayo baada ya kuona ingawa umehifadhiwa lakini huna dalili ya kutoka wala kuondoka hapo. Na usikute mpango mzima unafahamika na shemeji yako pia.
 
Oooohh anyway kwa kawaida ni vyema kumpa mtu pole whether kakosa ama kajikosesha mwenyewe buddy...? Na pia hata kama angelikuwa ni ndugu yangu ndo alitaka kumfanya hivo nisingelitoa ushauri tofauti na huo koz huyo dada ndo source but tamaa za mshkaj ndo worse zaidi.."Rodger dat"
 
Hii michezo ipo sana kwenye familia...inasaidia kupunguza watu ambao ni kula kulala!

Jamaa yangu alishikishwa kesi ya kutaka kumbaka mtoto wa uncle yake (less than 3 yrs old)....!

Hiyo ni kawaida kama umechokwa.kaka yangu alisingiziwa kutaka kumbaka mtoto wa mjomba wetu.kumbe yule mke alikua amezaa mtoto asokuwa wa uncle kwahiyo alikuwa ataki ndugu yoyote aje pale asije kumchunguza mtoto.
 
Mjinga mkubwa wewe. Yaani unamtomasatomasa binti wa watu halafu unakuja kuomba ushauri hapa. Kwani ulivyokuwa unataka kumbaka ulikuwa unatarajia nini. Kuvaa kwake nguo fupi sio kwamba alikuwa anakuvalia wewe. Unamla denda kwani ulikuwa umemlipia mahari? Kama angekuwa mwanao wa kike halafu ukasikia ameliwa denda na kutomaswa na lijamaa ungejisikiaje? Unakaa kwa kaka yako unakula Sato na Sangara bure unavimbiwa na kujamba ovyo halafu unafanya mambo ya kikumbavu wakati amekuhifadhi kama mkimbizi Mwanza. Jinga kabisa. Wewe ndio umemdhalilisha huyo binti. Tena dakika hii ulitakiwa uwe jela miaka 30 unanyea ndoo.
mkuu maneno yako makari dah.
 
Kwa ufup shemej mke wa kaka yako hakutak kwake, ndo maana akaona apange mipango ya kukung'oa kupitia kwa mdogo wake
 
Mjinga mkubwa wewe. Yaani unamtomasatomasa binti wa watu halafu unakuja kuomba ushauri hapa. Kwani ulivyokuwa unataka kumbaka ulikuwa unatarajia nini. Kuvaa kwake nguo fupi sio kwamba alikuwa anakuvalia wewe. Unamla denda kwani ulikuwa umemlipia mahari? Kama angekuwa mwanao wa kike halafu ukasikia ameliwa denda na kutomaswa na lijamaa ungejisikiaje? Unakaa kwa kaka yako unakula Sato na Sangara bure unavimbiwa na kujamba ovyo halafu unafanya mambo ya kikumbavu wakati amekuhifadhi kama mkimbizi Mwanza. Jinga kabisa. Wewe ndio umemdhalilisha huyo binti. Tena dakika hii ulitakiwa uwe jela miaka 30 unanyea ndoo.

Aiseee haya mchungu uliyoyasema kama vile dada wa alietaka kubakwa,pole
 
Yaan siku hiyohiyo ya kwanza ukataka kumaliza kila kitu kuanzia kumpiga ukope,kumtomasa,kumla denda,mpaka kumvua chupi na kumgegeda!! Kweli kizaz cha leo ni shida!!
 
wanawake woooote papuchi zoooote hujaona hadi ukamtie ndugu? mtu unaeishi nae nyumba moja? huenda washakuona ni kiboro dinda wakaandaa mtego na umetiki pole...
 
Sasa badala ya kumsaidia mnamtukana, kaka nadhani ni jambo jema ukamweleza kaka ako na mzee wako katika hali ya utulivu, nadhani watakuelewa pili ni kufanya yako ili uachane na hayo
 
Back
Top Bottom