Naomba ushauri: Binti amenidhalilisha sana

Naomba ushauri: Binti amenidhalilisha sana

Naona kama kuna mpango mahususi ulisukwa kwa lengo moja tu ya kukuondoa mahali hapo na hatimaye lengo limitimia.Usiwaze sana we wapoteze pambana na mishe zako
 
Yani wee ni mmoja wa wazembe ambao sijapata kuona kabisa yani unakubali kabisa kuwa alikukubali... duu ulitakiwa kukataa kata kata kumsogelea na kumwambia chochote na ulikuwa ushinde battle maaana umesema una aminika na wewe umeshindwa kutumia nafasi hiyo...umejiingiza kwenye mtego mwenyewe.

Huo ulikuwa mtego ulio andaliwa na umekunasa kwa kutaka mwenyewe maana ni wazi ulikuwa uhitajiki hapo..Kuna rafiki yangu alishawai kuundiwa zengwe kama hilo aliambiwa alitaka kumbaka mtoto wa kaka yake hakika jamaa alifungasha kesho yake!
Sasa anza kutafuta maisha yako.
 
Mimi ninawasiwasi na mke wakakako isijekua yeye ndo katumia mdogo mtu iliutimuliwe hapo nyumbani,hebu jiulize kama ulikua zinaiva nashemeji hapo unaweza patamajibu
 
na wewe ulikubalije kuwa anasema ukweli?umeshindwa kuongopa Mkuu?
 
Pole ndg yangu jitahidi kujipanga kimaisha ili uondoe hiyo hali ya utegemezi maana kama ungekua mambo safi huyo mdada wala asingekuletea noma yote hayo yametokana na kuwa unamtegemea bro na huenda bro nae kawekeza kwa shemejie maana kaka zetu siku hizi hawaeleweki
 
Ila sie wanawake ni makatili jamani?!...papuchi hujampa,dili za bussiness unamharibia...and worse of all,unamgombanisha na ndugu zake...mnh

Goes around cames around,ukimfanyia mtu ubaya ipo siku na wwe utafanyiwa hivyohivyo,huyo Dada nimemchukia japo simjui!
 
Sasa tukushauri nini Bro na umeshatimuliwa uzinzi wako umekuponza kaa utulie na ulipohifadhiwa hapo uwe mpole la sivyo utaenda kulala mwaloni
 
Hizo mambo zipo sana mkuu hasa ukiwa unaishi kwa ndugu,hata mmi ilishawahi nitokea ila mmi ni mkali wa kuzuia mihemko yangu,wwe alikuvalia nguo fupi umepagawa hivyo,mmi mwenzio alikuwa anaoga bafuni mlango wazi halafu nyumbani tulikuwa tumebaki wawili2 na bafu lenyewe la ndani,lakini nilijikaza2 coz nilijua huo ni mtego2 na mambo yalipita now days najitegemea mwenyewe!
 
huyo alifanya makusudi ili kukugombanisha wewe na ndugu zako na inawezekana mpango huo ulisukwa na shemeji yako , ili usindelee kuishi hapo, pole saana ndugu yote maisha,ila msamehe tu,ingawa kaka yako anaonekana ni dhaifu ameegemea upande mmoja bila ya kuzingatia mazingira
 
When the deal is too simple think twice...pepo wa ngono hana adabu lakini usijali..

Hapo cha msingi ni kujituliza,jipe mda wa kutuliza fikra zako usiwaze mabaya wala usimchukie mtu.

wote wasiokuelewa wape mda.kaa mbali kwa mda na familia yako,vunja mawasiliano kwa mda,then watafute wazee huko kwenye asili yenu(kijijini,mjini popote)wazungumze na baba atakuelewa.

Kingine jitahidi sana kujijenga kiuchumi watakuelewa tu.

Kuhusu huyo mdada mpe mda wa kimtosha mkiendelea kuwa hai ipo siku atalipwa stahili zake.

ushauri mzuri
 
Ungepiga kimeno fa.la wewe.....
Sasa hivi sepa zako kaendelee na mambo yako kijana.
 
Ikiwa hiki ulichoandika ni kweli basi wana haki ya kukuchukia kwa kitendo ulichofanya . Hivi wewe ulishaona unategwa bado ukakubali kutegeka . Hata kama unakataa hamkufikia hatua ya mwisho lakini kiuhalisia mlikua mmemaliza kila kitu. Wazazi watakuelewa hasa ukiwapa muda wa kuyatafakari hayo yaliyotokea. Muwe mnajizuia hizi tabia za kuwaza machafu kila wakati mtakuja kumbana na makubwa .
 
Sasa tukushauri nini Bro na umeshatimuliwa uzinzi wako umekuponza kaa utulie na ulipohifadhiwa hapo uwe mpole la sivyo utaenda kulala mwaloni
Kweli kabisa atulie atalala mwaloni asipoangalia , yaani eti mtu akikaa nusu mavazi anakutega kwanini usiwaze kua ndo mavazi yake na kutoyapeleka mawazo kusikotakiwa. Siku hizi mavazi ndo hayo sasa utategwa na wangapi. Najiuliza je angekua shemeji yake si angefanya hayo hayo ndio maana ametimuliwa na hawataki kusikia utetezi wake. Ila ajitahidi kufanya kazi kwa bidii mambo yakiwa safi watamuelewa
 
Yaani pale pale mlipokuwa kwenye KESI ya kifamilia ndo ulipofanya bonge la kosa. Ulitakiwa ufunguke kuwa unamshangaa, maana hukumbaka alikubali mwenyewe na ulipiga goli 2 na baada ya hapo mlienda hadi kuoga wote. Hii inaitwa MWAGA MBOGA, NITOBOE SUFURIA.
 
Kukaa kwa ndugu yako mnayependana make wake anaona kama yy hamumpendi kwahiyo hiyo ilikuwa mishemishe ya kukun'goa.
Kaka yako mwambie aache uboya biashara anampa nani?
Au kina kitu hujaweka SAWA...upo kikazi kwa miezi 2 au mnafanya.biashara na bro au umemtongoza mkewe?
 
Mjinga mkubwa wewe. Yaani unamtomasatomasa binti wa watu halafu unakuja kuomba ushauri hapa. Kwani ulivyokuwa unataka kumbaka ulikuwa unatarajia nini. Kuvaa kwake nguo fupi sio kwamba alikuwa anakuvalia wewe. Unamla denda kwani ulikuwa umemlipia mahari? Kama angekuwa mwanao wa kike halafu ukasikia ameliwa denda na kutomaswa na lijamaa ungejisikiaje? Unakaa kwa kaka yako unakula Sato na Sangara bure unavimbiwa na kujamba ovyo halafu unafanya mambo ya kikumbavu wakati amekuhifadhi kama mkimbizi Mwanza. Jinga kabisa. Wewe ndio umemdhalilisha huyo binti. Tena dakika hii ulitakiwa uwe jela miaka 30 unanyea ndoo.

wew ni mwanaume kweli?
 
Back
Top Bottom