Punda wa Dobi
JF-Expert Member
- Jul 4, 2013
- 591
- 238
ulichokosea ni kushindwa kumla huyo demu...nakushauri mtafte kitaa ujipigie kabsaaaa, acha kuweka viporo visivo na maana
Fanya yako achana nao mie yalinitokea mwaka 2012 kama hayo hayo nikaachana nawo na saiz nina maisha yangu wameanza kujisogeza polepole nasubiri siku ya kuawaambia tuu
ulichokosea ni kushindwa kumla huyo demu...nakushauri mtafte kitaa ujipigie kabsaaaa, acha kuweka viporo visivo na maana
When the deal is too simple think twice...pepo wa ngono hana adabu lakini usijali..
Hapo cha msingi ni kujituliza,jipe mda wa kutuliza fikra zako usiwaze mabaya wala usimchukie mtu.
wote wasiokuelewa wape mda.kaa mbali kwa mda na familia yako,vunja mawasiliano kwa mda,then watafute wazee huko kwenye asili yenu(kijijini,mjini popote)wazungumze na baba atakuelewa.
Kingine jitahidi sana kujijenga kiuchumi watakuelewa tu.
Kuhusu huyo mdada mpe mda wa kimtosha mkiendelea kuwa hai ipo siku atalipwa stahili zake.
hiyo id yako tu na kuandika bila kuweka aya....rekebisha basi