Naomba ushauri: Binti amenidhalilisha sana

Naomba ushauri: Binti amenidhalilisha sana

Salaam wakuu.

Mimi ni mgeni Jamii Forums ila hiki kisa kimefanya nije huku,naona niandike hapa angalau nipunguze hasira zangu.Kuna binti ni mdogo wake na shemeji yangu ambaye amekuja hivi karibuni kwa kaka yangu ambapo na mimi nakaa kwa muda maana nipo Mwanza kikazi hivyo kaka akasema sio vyema nikapanga kwa muda wa miezi miwili ya kukaa hapa Mwanza maana ni nyumbani kabla ya kurudi Arusha.

Sasa huyu binti kwa muda mrefu amekuwa akinitega kwa kunivalia nusu uchi hasa kaka na shemeji wakiwa hawapo,ni mnene kiasi,mfupi,mweupe pee kifupi ni mzuri sana na nimejizuia sana kumtongoza lakini kuna siku aninitega sana kwa kuacha matiti almost wazi kwa kuyabinua, zaidi sana alivaa nguo fupi ambayo akikaa kwenye kochi mapaja yote yanakuwa wazi.

Basi kidume nikakaa karibu na kumsifia alivyoumbika na nikamwambia hali yangu ni taabani nikimwangalia kifuani mwake na taratibu nikamshika mikono na akaachia bonge la tabasamu nikajua tupo pamoja,nikamshika vizuri na kuanza kumtomasa na kote huko alinipa ushirikiano baadae nikamla denda na kuanza kumvua taratibu lakini nilipofika kwenye kumvua pichu yake aligoma na kunikatalia kisha kuvaa nguo zake na kwenda chumbani kwake.

Shemeji aliporudi akamwambia kuwa nilitaka kumbaka na nikaitwa mbele ya kaka na mbaya zaidi Baba yangu mzazi pia alikuwepo.Baba yangu ananiamini sana ila kwa hili amefadhaika sana na hataki hata kuniona lakini jana nimekaa na kaka na kumweleza yote kikubwa ameniomba niondoke kwake kuepusha migongano.

Kuna biashara ya samaki tulikuwa tunafanya na kaka pia bro amekataa tusifanye akisema nilichofanya hakivumiliki,mimi sijaoa bado ila sijui kwanini hawanisikilizi tena ukweli mpaka sasa sijajua huyu dada alikusudia nini kiukweli amenidhalilisha sana na kwa sasa nimeondoka kwa bro nipo kwa jamaa yangu anafundisha hapa SAUT.Naombeni msaada wenu wa mawazo nifanyeje wanielewe hasa baba yangu pia huyu binti nafikiria cha kumfanya sijajua bado.Samahani kwa maandishi mengi.

Kwa maana ni kwamba familia yako imeamua kukutenga kabisa? Suala la kutaka kumbaka shemeji yako huyo ndio mpaka mpango wa biashara ndo uvurugike! Au kaka yako anagegeda huyo binti nini? Halafu ulikosea huyo demu kama alikuruhusu umtomase ungemgusa vizuri pichu angeivua mwenyewe hata kama ilikuwa ni mtego
 
wanawake woooote papuchi zoooote hujaona hadi ukamtie ndugu? mtu unaeishi nae nyumba moja? huenda washakuona ni kiboro dinda wakaandaa mtego na umetiki pole...

Kumbe shemeji wa kaka ni ndugu!
Dada?
Shemeji?
Shemeji mdogo?
Mama?
Papuchi?
 
hizi kesi za kusikiliza upande mmoja na kutoa hukumu, si sawa.
 
Njama ya kukufukuzisha hiyo itakuwa syndicate na dada yake. Acha nao kata mawasiliano, Mtafute mzee wako umweleze ukweli bila kuficha
 
We kama unafanya mishe zako usihangaike nao wapotezee tu alafu nahisi binti alitumwa afanye hivyo
 
Shemeji ameamua kuwapunguza kwa style hiyo,mnamjazia nyumba.
 
Shemeji ameamua kuwapunguza kwa style hiyo,mnamjazia nyumba.

Duh huyu shemeji ana roho mbaya! Kamfukuza ndugu na kuharibu mahusiano ya kindugu kiurahisiii
Nani kati yetu angesalimika na hili?
Kaka naye kaonyesha udhaifu...bila shaka naye anagonga!

Oooh Delila ooh Delila alimnyoa Samson
No woman no cry...No woman no cry!
 
huyo alitumwa na dadaake akutege ili usipate msaada kwa kakaako........
 
Duh huyu shemeji ana roho mbaya! Kamfukuza ndugu na kuharibu mahusiano ya kindugu kiurahisiii
Nani kati yetu angesalimika na hili?
Kaka naye kaonyesha udhaifu...bila shaka naye anagonga!

Oooh Delila ooh Delila alimnyoa Samson
No woman no cry...No woman no cry!

Angechomoka kwenye mtego wa bint angeambiwa Kuna pesa zimepotea na nyumba yao haina history ya wizi.
Akufukuzaye ........
 
Angechomoka kwenye mtego wa bint angeambiwa Kuna pesa zimepotea na nyumba yao haina history ya wizi.
Akufukuzaye ........

Kabisaaa na yeye angeambiwa kaibaa.ila jamaa mshamba kweli yaani alikuwa anaaminiwa na familia y asingekataaa tu tena angeruka futi mia wazazi wangemwamini kwa vile hana tabia hiyo ile nyie wanawake sio watu kama ndugu humpendi si umwambie tu kuliko kurudishana nyuma deal na samaki lishakufa sasa
 
Salaam wakuu.

Mimi ni mgeni Jamii Forums ila hiki kisa kimefanya nije huku,naona niandike hapa angalau nipunguze hasira zangu.Kuna binti ni mdogo wake na shemeji yangu ambaye amekuja hivi karibuni kwa kaka yangu ambapo na mimi nakaa kwa muda maana nipo Mwanza kikazi hivyo kaka akasema sio vyema nikapanga kwa muda wa miezi miwili ya kukaa hapa Mwanza maana ni nyumbani kabla ya kurudi Arusha.

Sasa huyu binti kwa muda mrefu amekuwa akinitega kwa kunivalia nusu uchi hasa kaka na shemeji wakiwa hawapo,ni mnene kiasi,mfupi,mweupe pee kifupi ni mzuri sana na nimejizuia sana kumtongoza lakini kuna siku aninitega sana kwa kuacha matiti almost wazi kwa kuyabinua, zaidi sana alivaa nguo fupi ambayo akikaa kwenye kochi mapaja yote yanakuwa wazi.

Basi kidume nikakaa karibu na kumsifia alivyoumbika na nikamwambia hali yangu ni taabani nikimwangalia kifuani mwake na taratibu nikamshika mikono na akaachia bonge la tabasamu nikajua tupo pamoja,nikamshika vizuri na kuanza kumtomasa na kote huko alinipa ushirikiano baadae nikamla denda na kuanza kumvua taratibu lakini nilipofika kwenye kumvua pichu yake aligoma na kunikatalia kisha kuvaa nguo zake na kwenda chumbani kwake.

Shemeji aliporudi akamwambia kuwa nilitaka kumbaka na nikaitwa mbele ya kaka na mbaya zaidi Baba yangu mzazi pia alikuwepo.Baba yangu ananiamini sana ila kwa hili amefadhaika sana na hataki hata kuniona lakini jana nimekaa na kaka na kumweleza yote kikubwa ameniomba niondoke kwake kuepusha migongano.

Kuna biashara ya samaki tulikuwa tunafanya na kaka pia bro amekataa tusifanye akisema nilichofanya hakivumiliki,mimi sijaoa bado ila sijui kwanini hawanisikilizi tena ukweli mpaka sasa sijajua huyu dada alikusudia nini kiukweli amenidhalilisha sana na kwa sasa nimeondoka kwa bro nipo kwa jamaa yangu anafundisha hapa SAUT.Naombeni msaada wenu wa mawazo nifanyeje wanielewe hasa baba yangu pia huyu binti nafikiria cha kumfanya sijajua bado.Samahani kwa maandishi mengi.
Sasa wewe kiongozi kama ulienda kikazi mwanza unapata wapi muda wa kuhangaika na huyo shemegio? au kazi iliyokupeleka ni kwenda kuangalia mitego anayo kufanyia shemu wako? Anyway cha kufanya ni kuwapotezea kwa muda na ufanye vitu vya maendeleo vya kueleweka, watakutafuta 2. Kwa sasa jikite kwenye mambo yako na usifikirie kulipiza kisasi.
 
Halafu na nyie mnaenda kujazana kwa kaka yako ukoo mzima mnadhani watu watapata wapi muda wa kuwa faragha na mkewe? Na kwa taarifa yako hata mzee wako nae atazushia janga lake nae atimuliwe maana inaonekana kaka yako ameshikwa masikia na upande wa mkewe. Na wewe ulikubali vp kuwa ulitaka kubaka wakati mlikulana mpk denda ungewaambia mlikiduana tena bila kondomu kama noma na iwe noma unafukuzwa na binti anafukuzwa kudadeki. Siku nyingone kuwa makini halafu usipende kukaa kaa kwa ndugu wakati kampuni zimekupa per diem ukaishi hotelini wewe unaenda kujichimbia kwa watu sijui una retire vipi imprest za kampuni
 
wewe kweli mzembe nina uwezo mkubwa wa kukataa jambo nililolifanya hata kama wameona watu wengi sembuse mmoja tu ??

utakua mchagga wewe wale wazembe wa kishimundu

MO11 unaharibu ukiingiza uchagga katka hili....huyu jamaa kwa kifupi hajui kutongoza....akaona mteremko.....hakuna cha bure bro,,, hata housegal wako huwezi kumla free,,,,lazima anase visenti vyako....mwache achemke kwanza,,,,
 
Braza inawezekana ulisoma alama za nyakati vibaya, ulojiongeza sana mzeiya, au inawezekana ni setup ila yote kwa yoye shukuru Mungu hauna Kesi
 
Back
Top Bottom