Naomba ushauri baada ya kununua gari

Joyomi

Member
Mar 2, 2019
8
4
Habari ndugu zangu,

naomba ushauri kwa vitu vya kuzingatia unaponunua gari mpya kwa mara ya kwanza, yaani umeenda kununua showroom au umeagizia kutoka Japan na ndo limefika.

Nini cha kuzingatia kabla na baada ya kukabidhiwa gari?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Don't drink and drive, hakikisha unakagua maji kila siku (likiwa jipya linakuwa na coolant), usivushe muda wa service, hakikisha mafuta taa haiwaki.

Usivutie sigara kwenye gari.

Usiazime gari, endesha wewe mwenyewe.

NB: Service ukifanya kwa mtu mmoja inakuwa safi, unatumia oil ya aina moja tu.

Kata comprehensive insurance, hasa hasa kwa hii miaka 2 ya mwanzo ya wewe kununua gari.
Ukitekeleza hayo gari litadumu.
 
Hakikisha document unazopewa ni za gari husika, physical appearance(na vifaa vyake vyote vinavyoonekana kwa urahisi) vinafanana na ile uliyokuwa umeichagua (kama uliagiza)? kwenye technical issues mara nyingi kama umeiagiza huwa iko vizuri kwani hufanyiwa service kabla ya kukuletea. Mengine wataongezea wataalamu.
 
Hapo kwenye technical issues ndo nilikuwaga najiuliza, hivi hakuna kuletewa gari bovu? Au kwa kuwa wenzetu hawapendi ubabaishaji? mana gari unaliona na kusoma specifications zake kwenye mtandao then haujui hata kama injini ni nzima au la!

Basi hapo hao Wajapani wana huruma na pesa ya mtu aliyejichanga muda mrefu

Wenzetu wanafanya biashara ya ukweli, wanajitahidi sana kuwa wakweli na waaminifu.
 
Niliwahi kuagiza gari lilikuja na condition moja nzuri mpaka nikatamani kumwongezea hela jamaa.

Wanajitahidi sana, ukibahatisha ambalo lina condition ya 4.5 linakuwa zuri balaa.
 
Don't drink and drive, hakikisha unakagua maji kila siku (likiwa jipya linakuwa na coolant), usivushe muda wa service, hakikisha mafuta taa haiwaki.

Usivutie sigara kwenye gari.

Usiazime gari, endesha wewe mwenyewe.

NB: Service ukifanya kwa mtu mmoja inakuwa safi, unatumia oil ya aina moja tu.

Kata comprehensive insurance, hasa hasa kwa hii miaka 2 ya mwanzo ya wewe kununua gari.
Ukitekeleza hayo gari litadumu.
Unakagua maji/coolant kila siku?

Aisee,hii ni kiboko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom