Team Subaru Naomba mnikaribishe na mnipe ushauri

MKIBAIGWA

JF-Expert Member
May 25, 2017
520
1,203
Ndugu zangu team Subaru naomba mnikaribishe nimehama kutoka Toyota na kuingia Subaru.

Nimeagiza Subaru Forester ya 2011 katikati ya mwezi wa tisa inafika.

Naombeni vitu vya kuzingatia kwa ubora na uimara wa gari yangu
 
Daaah salio langu halitoshi kununua hata pikipiki

Njia rahisi ya kutoboa ni ukiona mtu anatoboa muulize na amini

Wengi tunawambia hawa take action

The problem ni ku pay the price

And the price is higher than your willing to give
 
From Day one on JF, I always Appreciate you sana bro.

Ningetamani sana uwe mwongoza njia yangu, sifahamu mengi na natamani ku accomplish mengi, bro you are my role model. Hongera kwa Hili La Subaru, I believe yako mengi sana Usha accompliish maana hata maandishi yako huku JF ni yamejaa Akili na Maarifa mengi. Mungu azidi kukunyanyua MKIBAIGWA
 
Amina
 
Back
Top Bottom