Naomba ushauli jamani.

Kazakuku

JF-Expert Member
Jun 6, 2011
354
110
Mi kijana,umri miaka 24,nina shahada ya utawala wa jamii..nimehitim mwaka jana..hv sasa nataka nifanye kazi kama sales executive ktk micro lending moja hivi,je itaniongezea uwezekano wa kupata nafasi hasa katika stad yang,nininaomba ushauli wenu
 
Watu wanasota mpaka leo hawajapata kazi, alafu wewe ndo unataka ushauriwe nini hapo?
 
Unataka kazi ya fani ulosomea eeh, mayb aftr atleast 6 years u might ipata. Kaz zilizojaa mjini ni SALES haijalish umesomea nini..masomo chuo, mtaan ni kustrugle 2.
 
mi nakushauri usifanye iyo kazi kaa nyumbani mpaka utakapopata kazi ya fani yako
 
Ukweli ni kwamba hiyo kazi haitakuongezea CV yako maana haiendani na ulichosomea ila jitupe huko wakati unatafuti kazi iliyoko kwenye field yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom