Naomba ushari kwenye hili wadau

Naomba ushari kwenye hili wadau

sabeti

New Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
3
Reaction score
0
Jamani,

Hivi procedure za kuomba uhamisho zinakuwaje especially kama umeambiwa utafute mtu wa kuubadilishana nae na umekosa, na at the same time umeshauriwa na daktari wa mtoto awe karibu na hosptal kwa ajili ya matibabu ya mtoto? Mtoto ni mdogo kusafiri nae kila after two weeks ni kazi kutokea uko nilipoajiriwa, but furthermore mume yupo sehemu nyingine na mmi nyingine.

Sheria inasemaje au mwongozo? na isitoshe afisa utumishi wala mkurugenzi hawana huruma.

Jamani naitaji ushauri wenu wadau.
 
Mhh procedure sijui,nmeona nkupe tu pole na nikutie moyo upate suluhisho mapema
 
asante sana ndugu yangu kwa kunipa moyo.
 
Back
Top Bottom