Naomba ushahuri wenu tafadhali

Naomba ushahuri wenu tafadhali

Huo s ushahuri ni tuhuma
Wewe ni dhaifu kuliko muongoza vikao vya dodoma...
Nakushauri uachane na mpango wa kuoa kwa sasa mpaka hapo utakapokomaa kimaamuzi vinginevyo huyo mke atakuendesha sana sio kwa sababu mkeo ni mtata sana! Hapana kwa sababu ww ni dhaifu mno
 
Itafakari hii picha then fanyia kazi.
tapatalk_1558983744197.jpeg
 
Hiyo mahari kama mkeo anajishughulisha akusaidie ili muweze kufunga ndoa, unapangiwa milioni sita unakubaliana nayo kipindi kama hiki? Si ni mtaji wa maisha yenu huo. Khaaaaaaaaaaaaa
 
Kodi ya nyumba inamshinda halafu anakubali kulipa mahari ya millioni 6!!! 😳😳😳😳

Waambie mahari millioni tu au unaingia mitini wasikufanye mgongo wao wao kutafuta utajiri kwa nguvu.

Daaahhh...

Dunia bana, ni tambara bovu...

Wakati wengine wanaambiwa mahari ni bure, wengine wanatozwa mamilioni...
 
Kodi ya nyumba inamshinda halafu anakubali kulipa mahari ya millioni 6!!!

Waambie mahari millioni tu au unaingia mitini wasikufanye mgongo wao wao kutafuta utajiri kwa nguvu.
Wanamuuza mtoto waoo afu alishatobolewa *****...Wanategemea mahari kutajirikaa
 
Kodi ya nyumba inamshinda halafu anakubali kulipa mahari ya millioni 6!!!

Waambie mahari millioni tu au unaingia mitini wasikufanye mgongo wao wao kutafuta utajiri kwa nguvu.
Hata hiyo bado ndefu sana kilingana na hali yake anayoielezea.

Anayeolewa ndiye mwenye haki ya kupanga kiasi cha mahari anayoitaka yeye, endapo hili lingepewa kipaumbele mambo kama haya kuumizana yasingekuwepo isipokuwa tu kwa kiasi kidogo
 
Bro umetoa ushahuri mzuri sana kwangu. Mm sio dhaifu ila naitafuta hekima. Asante sana kwa ushahuri wako "mzuri"
nashukuru kama sio mdhaifu, busara na hekima ni muhimu, akili ifanye kazi kwa ufasaha sana kwa maamuzi unayotaka kuchua, ila naona kama bado sana hujajipanga omba tu wakupe mda tena walau wa mwaka mmoja utathmini future yako na mke wako mtarajiwa, ingekua ni mimi binafsi ningeomba nipewe walau mwaka mmoja then ntakuja na jibu kamilli na nini kifanyike, msimamo ni jambo la muhimu sana.
 
Vipi 500K Mkuu? Au amtie Mimba ajichukulie kiulaini.

[î]Hata hiyo bado ndefu sana kilingana na hali yake anayoielezea.

Anayeolewa ndiye mwenye haki ya kupanga kiasi cha mahari anayoitaka yeye, endapo hili lingepewa kipaumbele mambo kama haya kuumizana yasingekuwepo isipokuwa tu kwa kiasi kidogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom