Ila huyu enzi zake inaonekana watu walikuwa hawalali,basi ni uzee tu
Usiwe na wasi vitu vingine hvizeeki kihivyo!Ona sasa! ndio maana mimi naogopa sana uzee! Najua jinsi mshale wa saa unavyosogea ndivyo ninavyoukimbilia uzee ninaouogopa! Ningekuwa na uwezo ningeukwepa! uwiiiiii
Duuuuh! Wadada wa JF na Ma-Boflo wa JF mnaona madhara ya mkorogo?!!!:israel: