kama kuna aliye apply za tegeta ,kinyerezi na mtwara gas plant upande wa umeme na mechanical.. tujuzane kama wameita watu.
tegeta na mtwara deadline ilikua trhe 8 june wakati y kinyerezi ni trh 13 june.

Daaaa wazeee. Hivi hawa jamaa wanatoa taarifa kwa njia ipi?
Wanapiga simu, text msg au Email.
Tujuzane hili kwanza ili tuweke umakini.
Mm nimeapply zaidi ya sehemu 5 katika position ya assistant stores, ila cjapata hta notification hata moja
Kwenye website yao kuna namba za simu za mkononi za management nzima ya tanesco unaweza kuchukua namba zao hasa PR na Human resources, au ukapiga simu uliko tuma maombi.