Naomba uombee wanaotoa huduma za afya nchi hii!!


P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
39,996
Likes
8,817
Points
280
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
39,996 8,817 280
Mungu aikumbukw hii sekta mungu aikumbuke nchi hii
kwenye uzembe uzembe uondoke penye uvivu uvivu uondoke kwenye haki mungu akawakumbuke
pale panapoitajika kufanya marekebisho mungu akawateu wale waliowake kurekebisha sekta hii
ndugu zangu ni vyema tushirikishane kuombea sekta hii maana ni sekta ambayo mungu amewapa vibali
kutusaidia watunishi wake tuendelee kumtumikia mungu...nimeona ni vizuri tushirikishane hili
kuna baadhi ya hospital watumishi wa mungu walipita majuzi wakakuta mdk wanajadili muda wa kuwasha
jenereta na muda wakuuzima na ikitoke a emrgency wanafanyaje ..ndugu mpendwa hii nchi atujanza kuishi kw amatumaini
ya jenereta na ndio maana ukiwa kama mtumishi wa mungu mpaka mafuta wa bwana tuanze kukemea halii hii katika kuombe kumbuka sehemu zifuatavyo

mungu awape serikali utisho wa kuheshimu sekta hii nenda kaangalie bajeti yake unaweza kulia
ombea haki za watumishi hawa wanaojali afya zetu mungu asiwaache na serikali iheshimu malipo yao
ombea watumishi hawa waache kuuza dawa za mahospitalini nje kwa kuiba ili wapate hela za pembeni
ombea sana sana waache kushauriwa napepo la rushwa wakati wakiombwa mahitaji
ombea mungu awape utisho waweze kuheshimu mwenye pesa na asie na pesa wakapate mahitaji yao kama haki zao na mungu awa bariki mkatende mema wiki hii nzima kuanzia jumatatu na baba yetu wa mbinguni asiwaache kwenye kila utakachoshika na kuomba anasema anatuwazia mema maana ni ya amani na si mabaya jua akuna baya mungu analowaza juu yako basi amani ya bwana mungu wetu ikawe juu yenu in jesus name

shalom!!
 
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
39,996
Likes
8,817
Points
280
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
39,996 8,817 280
Ndugu zanguni hii nchi ni yakuombea sana sana akuna tulichojianda kwenye dharura inapotokea zaidi ya kuwa shapu kuchota hazina fedha za dharura za umemee ambazo hutojua ngapi wamechota...inasikitisha sana kama umesikia waliookolewa jinsi walivyoteseka kuweza kuokolewa na jinsi walivyoo kaa majini mpaka wakaokolewa mungu watie nguvu wazidi kukujua wewe ndie ulieweka uhai juu yao wakawa hapo walipo
 
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Messages
42,249
Likes
4,690
Points
280
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2011
42,249 4,690 280
Wewe jamaa kwa kweli mimi binafsi huwa sikuelewi unachokiandika.
Unaandika utadhani unaongea lakini inawezekana sio wewe ni zao la shule za kata
 

Forum statistics

Threads 1,249,419
Members 480,661
Posts 29,697,584