Naomba unitumie vocha ya voda 500

Nkamangi

JF-Expert Member
Mar 17, 2008
641
29
Jamani nina shida ya vocha ya Tsh mia tano (500) tu naomba mtu anitumie namba ya vocha. Naihitaji sana ila hapa nilipo siwezi kuipata. Kunihamishia kutoka kwenye simu yako haitafaa. Asante
 
jaman vocha zipo aina nyingi we unataka vocha ya zain, vodacom, tigo au zentel? jibu haraka nikutumie mwanangu
 
Mi naogopa kuota manyoya............
 
jaman vocha zipo aina nyingi we unataka vocha ya zain, vodacom, tigo au zentel? jibu haraka nikutumie mwanangu
Yaani wewe na JK hamna tofauti..................mwenzio kasaini jambo huku vitu vingine vimechomekwa ........na wewe hujasoma thread inasemaje ukaanza tu kuposti
 
Nimeomba voucher ya VODACOM, niko serious jamani acheni utani, namba sitoi nitumie tou vocha namba kwenye PM ukituma hapa waziwazi washapu wataiwahi. Mia tano tu, si zaidi
 
halafu ukitumiwa vocha za jumla ya 500,000 zile za ziada utazirudisha? mjini hapa si unajua.
 
Nimeomba voucher ya VODACOM, niko serious jamani acheni utani, namba sitoi nitumie tou vocha namba kwenye PM ukituma hapa waziwazi washapu wataiwahi. Mia tano tu, si zaidi
mimi nataka nikuPM, HIVYO LETA NAMBA YAKO KWENYE PM yangu.
 
Jamani nina shida ya vocha ya Tsh mia tano (500) tu naomba mtu anitumie namba ya vocha. Naihitaji sana ila hapa nilipo siwezi kuipata. Kunihamishia kutoka kwenye simu yako haitafaa. Asante

Kwani unataka ili upige au utume message? Kuna aina mbili tu za simu; (She/He). Je, simu yako ni ipi? Hiyo simu yako umeingiza vocha tangu lini? Unataka vocha au message? Simu yangu ni He, na inatuma message na vocha kwenda She tu...! Kama uko tayari tuwasiliane baadaye.
 
Yaani wewe na JK hamna tofauti..................mwenzio kasaini jambo huku vitu vingine vimechomekwa ........na wewe hujasoma thread inasemaje ukaanza tu kuposti

mi nilikua namtest kama kweli anaomba vocha hapa JF niliona kama ni kitu hakiwezekani
 
Mh! imekuwa shughuli, yaani no one is feeling generous this friday afternoon jamani? Ni kwa ajili ya kutext
 
Sasa wewe umeipanga vibaya, ungejaribu kwa watu walio online kwa kuPM. Kuomba hadharani unataka kufanya Arithmetic Progression na vocha za watu. Hivi mtaendelea kuomba mpaka lini?

Achana na tabia ya kuomba omba, hata Mungu alisema tafuta utapata.
 
Back
Top Bottom