Naomba unitumie vocha ya voda 500

Naomba unitumie vocha ya voda 500

watu mbona mnakuwa hivo mwenzenu kaomba Voda ya 500 nyie mnamwambia TIGO,MALA Zain Vip unataka kujirusha ?
 
Nimeomba voucher ya VODACOM, niko serious jamani acheni utani, namba sitoi nitumie tou vocha namba kwenye PM ukituma hapa waziwazi washapu wataiwahi. Mia tano tu, si zaidi

mia tano mia tano zidisha na idadi ya wasamaria wema humu...
weeee utapata nyingi sana........
 
halafu ukitumiwa vocha za jumla ya 500,000 zile za ziada utazirudisha? mjini hapa si unajua.

hapo sasa.....
BTW: signature yako imenishika ile mbaya.....
 
mia tano mia tano zidisha na idadi ya wasamaria wema humu...
weeee utapata nyingi sana........

wasamaria 0 mara 500 = 0. Sijafanikiwa na shida yangu iko pale pale. Nimejaribu lakini. Aliyenitumia namba ya vocha huko nyuma kwenye kadamnasi voda wameikataa. Asante kwa kujaribu kunisaidia lakini
 
Nimeomba voucher ya VODACOM, niko serious jamani acheni utani, namba sitoi nitumie tou vocha namba kwenye PM ukituma hapa waziwazi washapu wataiwahi. Mia tano tu, si zaidi

chukua hii

1234 5678 9101 25
 
Hii ndo nini sasa?
watu mnajadili nini hapa? Nielewesheni.
 
You two above need to take chill pills. Mlionitumia vocha mbarikiwe sana.
 
teh teh teh heee!
Raha,mwenzenu anataka msaada wengine mnawaza mengine!!!teh teh..
 
Back
Top Bottom