Naomba unitumie vocha ya voda 500 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba unitumie vocha ya voda 500

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nkamangi, Mar 26, 2010.

 1. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jamani nina shida ya vocha ya Tsh mia tano (500) tu naomba mtu anitumie namba ya vocha. Naihitaji sana ila hapa nilipo siwezi kuipata. Kunihamishia kutoka kwenye simu yako haitafaa. Asante
   
 2. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  jaman vocha zipo aina nyingi we unataka vocha ya zain, vodacom, tigo au zentel? jibu haraka nikutumie mwanangu
   
 3. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,435
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Mi naogopa kuota manyoya............
   
 4. T

  Tall JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  mmmmmmmh.
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Mi natumia tiGo pokea huko kwenye PM.
   
 6. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,435
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Yaani wewe na JK hamna tofauti..................mwenzio kasaini jambo huku vitu vingine vimechomekwa ........na wewe hujasoma thread inasemaje ukaanza tu kuposti
   
 7. T

  Tall JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  kwani kasema yupo maeneo ya daraja la salenda?
   
 8. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #8
  Mar 26, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  leta namba yako nikupunguzie
   
 9. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nimeomba voucher ya VODACOM, niko serious jamani acheni utani, namba sitoi nitumie tou vocha namba kwenye PM ukituma hapa waziwazi washapu wataiwahi. Mia tano tu, si zaidi
   
 10. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,435
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Hawa omba omba wanakuotesha manyoya popote pale............... Salenda ilikuwa mfano na kutuonyesha kwamba wanaweza
   
 11. T

  Tall JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  halafu ukitumiwa vocha za jumla ya 500,000 zile za ziada utazirudisha? mjini hapa si unajua.
   
 12. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nikishapata 500 tu nitawajulisha ili mtu mwingine asinitumie
   
 13. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #13
  Mar 26, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  mimi nataka nikuPM, HIVYO LETA NAMBA YAKO KWENYE PM yangu.
   
 14. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Kwani unataka ili upige au utume message? Kuna aina mbili tu za simu; (She/He). Je, simu yako ni ipi? Hiyo simu yako umeingiza vocha tangu lini? Unataka vocha au message? Simu yangu ni He, na inatuma message na vocha kwenda She tu...! Kama uko tayari tuwasiliane baadaye.
   
 15. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #15
  Mar 26, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mi nilikua namtest kama kweli anaomba vocha hapa JF niliona kama ni kitu hakiwezekani
   
 16. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #16
  Mar 26, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mh! imekuwa shughuli, yaani no one is feeling generous this friday afternoon jamani? Ni kwa ajili ya kutext
   
 17. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #17
  Mar 26, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,435
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye red.................. haipimwi kwa vocha
   
 18. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #18
  Mar 26, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Sasa wewe umeipanga vibaya, ungejaribu kwa watu walio online kwa kuPM. Kuomba hadharani unataka kufanya Arithmetic Progression na vocha za watu. Hivi mtaendelea kuomba mpaka lini?

  Achana na tabia ya kuomba omba, hata Mungu alisema tafuta utapata.
   
 19. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #19
  Mar 26, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  98675432189076 kazi kwako ukichelewa umeliwa.
   
 20. Jacbest

  Jacbest Member

  #20
  Mar 26, 2010
  Joined: Mar 22, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nibeep, nitakutumia. Mpende jirani yako kama...........
   
Loading...