“Naomba uje unisukume”✔

Bishop Hiluka

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
7,147
14,699
Jamaa alikuwa amelaa na mkewe saa tisa ya usiku akastuka baada ya kusikia mtu anabisha hodi, kwenda kufungua mlango
akamkuta jamaa kalewa sana akiwa kasimama mlangoni kwao

JAMAA: Nini tena mheshimiwa kuamshana saa hizi?

MLEVI: Naomba uje unisukume.

Jamaa akiamini kuwa pengine kuna gari la huyu mlevi limezima jirani akamwambia subiri nikavae viatu. Baada ya kuvaa viatu akatoka na wakaanza kusindikizana na mlevi.

Mlevi akaongoza njia
mpaka kwenye mabembea ya jirani akakaa kwenye bembea moja na kumgeukia jamaa na kumwambia.

Okay nisukume basi…
 
Kesho yake asubuhi magazeti yangesomeka hivi

"Mlevi auwawa na watu wasiojulikana"

"Mwanaume mmoja asiyetambulika akutwa amevunjwa taya,mikono na miguu"

"Taharuki, jamaa apata kipondo mpaka kutoa haja zote. Yasemekana ni mbwa mwitu
Hahahahahahaaaaaa! Comment yako imenichekesha, watu wananiona kama nimechanganyikiwa...
 
Namchukua naenda kumfungia stoo hadi pombe ikate kitakachofata atanisamee bure mana nilimwonea huruma kupiga na pombe zake
 
Ningemuuma Meno mwili mzima kwsbb ni Mlevi ingeonekana km kachora tattoo hivi
 
Jamaa alikuwa amelaa na mkewe saa tisa ya usiku akastuka baada ya kusikia mtu anabisha hodi, kwenda kufungua mlango
akamkuta jamaa kalewa sana akiwa kasimama mlangoni kwao

JAMAA: Nini tena mheshimiwa kuamshana saa hizi?

MLEVI: Naomba uje unisukume.

Jamaa akiamini kuwa pengine kuna gari la huyu mlevi limezima jirani akamwambia subiri nikavae viatu. Baada ya kuvaa viatu akatoka na wakaanza kusindikizana na mlevi.

Mlevi akaongoza njia
mpaka kwenye mabembea ya jirani akakaa kwenye bembea moja na kumgeukia jamaa na kumwambia.

Okay nisukume basi…
Upuuz wa masud kipanya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom