Naomba ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya Moshi cooperative University (Kizumbi campus)

ndandambuli

JF-Expert Member
Jul 2, 2017
948
639
Naomba kufahamu Kizumbi campus kipo mkoa/wilaya/gani? Pia naomba kufahamu Human Resource Management ni masomo yanayohusiana na nini? Mimi darasa la Saba la mkoloni, Kuna mdogo wa rafiki yangu kachaguliwa chuo hicho tajwa na masomo hayo.

Msaada wenu tafadhali
 
Naomba kufahamu Kizumbi campus kipo mkoa/wilaya/gani? Pia naomba kufahamu Human resource management,ni masomo yanayohusiana na nini? Mimi darasa la Saba la mkoloni ,Kuna mdogo wa rafiki yangu kachaguliwa chuo hicho tajwa na masomo hayo,Msaada wenu tafadhali
Pia mdogo wangu kachaguliwa hapo na hiyo hiyo course na alifaulu kwa div III ya point 22 ana C-chemistry,C- Bios, C- Geog, D- physics, D- mathematics, C- kiswahili, C- English, C- History, D- civics hapa nashindwa kuelewa nifanyeje na siwezi kukubali asome hiyo course
 
Hiki chuo wabadili jina kiitwe Kilimanjaro University kuenzi mlima wetu
Naomba kufahamu Kizumbi campus kipo mkoa/wilaya/gani? Pia naomba kufahamu Human resource management,ni masomo yanayohusiana na nini? Mimi darasa la Saba la mkoloni ,Kuna mdogo wa rafiki yangu kachaguliwa chuo hicho tajwa na masomo hayo,Msaada wenu tafadhali
 
Chuo kipo shinyanga mjini . Umbali Toka Mjini mpaka chuo Ni Km 5. Ni chuo Chenye mandhali nzuri kwaujumla.
 
Wanamchagua iyo aina shida,angaria 1:clinical medicine 2: pharmacy 3:medical laboratory 4: nursing vyuo vya serikal kama 1:lugalo 2:kibaha 3:mara 4:mafinga etc

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Sana but nilikuwa nawaza kuwa labda nimuombee course zenye ushindani kidogo wa matokeo mfano certificate in nursing and certificate in clinical medicine na hizo nyingine ulizotaja ila kwa level ya cheti sio diploma
 
Wanamchagua iyo aina shida,angaria 1:clinical medicine 2: pharmacy 3:medical laboratory 4: nursing vyuo vya serikal kama 1:lugalo 2:kibaha 3:mara 4:mafinga etc

Sent using Jamii Forums mobile app
LUGALO na KIBAHA asiguse kabisa kule ushindani ni mkubwa sana, nashauri ajaribu MUSOMA, MASWA, kwa CLINICAL MEDICINE, SINGIDA KWA LABORATORY, then tafuta vyuo vya private vyenye ada nafuu na venye mazingira mazuri kama DECCA, SUMVE mwisho usisahau kuomba BUGANDO wanatoa LABORATORY, PHARMACY na RADIOLOGY ila Narecommend RADIOLOGY ipe first Priority
 
Pia mdogo wangu kachaguliwa hapo na hiyo hiyo course na alifaulu kwa div III ya point 22 ana C-chemistry,C- Bios, C- Geog, D- physics, D- mathematics, C- kiswahili, C- English, C- History, D- civics hapa nashindwa kuelewa nifanyeje na siwezi kukubali asome hiyo course
Kwanini huwezi kukubali asome hiyo course? Swali langu ni hilo ,hiyo course inahusiana na nini? Moja kuhusu Kizimbu campus kilipo nimeshajibiwa la kuhusu hiyo course ya Human resource management sijajibiwa,Msaada tafadhali
 
Jeshi limejitahidi Sana...Kile chuo ni kama Ulaya vile
 
Pia mdogo wangu kachaguliwa hapo na hiyo hiyo course na alifaulu kwa div III ya point 22 ana C-chemistry,C- Bios, C- Geog, D- physics, D- mathematics, C- kiswahili, C- English, C- History, D- civics hapa nashindwa kuelewa nifanyeje na siwezi kukubali asome hiyo course
Hapo kijana Ana option 2, ambazo zitamfurahisha na atakua na Amani, 1: Aende advance private PCB,,au CBG, anapokelewa vizuri tu bila zengwe Ada na GHARAMA haziwezi kuwa kubwa kama Chuo,,vitu kama Chakula na accomodation atazipata shule ,,na shule zipo nyingi bei tofauti kulingana na mfuko wako,, kuanzia 700,000/= ,,,2. Kijana anaweza kwenda Chuo cha Afya ila hapa aombe tu private make serikalini ushindani ni mkubwa ila kama akiomba Asijaribu kuomba Clinical medicine,,,optometry,,au dentistry,,,,,Ajaribu kuomba Nursing anaweza pata,,,Hapa kwa private changamoto ni GHARAMA ila vyuo vipo vingi mnoo,,Ada inaanzia 1,900,000/= hadi 5,400,000/= kutegemea na Chuo,,, Mimi naona option 1 ndo nzuri ila apate counselling na Exposure ,,ili apate hamu ya kujituma kusoma aache usharobaro vinginevyo ata differentiant costant form six..
Mwl WA Chemistry na Biology
 
Pia mdogo wangu kachaguliwa hapo na hiyo hiyo course na alifaulu kwa div III ya point 22 ana C-chemistry,C- Bios, C- Geog, D- physics, D- mathematics, C- kiswahili, C- English, C- History, D- civics hapa nashindwa kuelewa nifanyeje na siwezi kukubali asome hiyo course
Mwambie atafute chuo aende akasome clinical medicine au pharmacy aachane na huyo upuuzi wa hr
 
Kwanini huwezi kukubali asome hiyo course? Swali langu ni hilo ,hiyo course inahusiana na nini? Moja kuhusu Kizimbu campus kilipo nimeshajibiwa la kuhusu hiyo course ya Human resource management sijajibiwa,Msaada tafadhali
Course ya rasilimali watu, ni ujinga mtupu hakuna kitu cha maana halafu ajira zake ni chache na hazina maslahi hata ukipata hizo kazi. Akikosa hizo pharmacy au clinical medicine, aende chuo cha madini shinyanga ,au A level private
 
Course yenyewe ni ya muda gani?
 
Back
Top Bottom