Naomba ufafanuzi wa kiwanja cha ukubwa wa 30 kwa 30

Icho kiwanja ni sawa na nusu heka. Maana heka 70×70, sasa wewe 30×30 huoni ni approximately sawa na nusu ya heka 1
Hesabu za viwanja haziendi hivyo kiongozi.
Ekari moja ni 70*70 miguu
Nusu ekari ni 70*35 miguu
Robo ekari ni 35*35 miguu

Ukipima kwa mita hapo pa 70 basil weka 64. Robo ekari ni sqm. 1000 so kwa huyu wa sqm.900 ni karibu robo eka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom