BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,050
- 10,493
Kuna hivi viwanja vinatangazwa sana kuanzia mtaani mpaka kwenye vyombo vya habari vinapatikana Mlandizi bei ni laki mbili kwa kiwanja chenye ukubwa wa 20 kwa 15 na unapewa kiwanja cha nyongeza endapo utanunua vingi.
Sasa mimi kama kijana mwenye miaka 30+ nina shauku ya kumiliki eneo na hivi viwanja vya laki mbili ni kama fursa adhimu kwa kuzingatia jiji la Dar es salaam linavyokuwa na uhitaji wa maeneo unavyoongezeka basi laki mbili sio kitu.
Je kuna mtu humu jukwaani alishanunua kiwanja kwa Mchungaji Mlandizi? Je havina changomoto yoyote?