Naomba ufafanuzi wa alama hii ya barabarani

kahara

Member
Nov 14, 2016
94
91
Habari wa jamvi nimekutana na swali kwenye usaili sehemu fulani nikabaki nashangaa maana sijawahi Kutana nayo kwenye barabara za Tanzania sasa naomba mwenye kujua atusaidie wengine tuelimimike pitia hapo chini
IMG_20220802_195117.jpg
 
Icho chenye 1.4.3. Maana Yake hakuna Mimba, icho chenye 1.4.2. Positive Kitu kimetiki,icho chenye 1.4.1. Inconclusive.

Vipi Kuna Lingine?
 
Habari wa jamvi nimekutana na swali kwenye usaili sehemu fulani nikabaki nashangaa maana sijawahi Kutana nayo kwenye barabara za Tanzania sasa naomba mwenye kujua atusaidie wengine tuelimimike pitia hapo chini
View attachment 2312353
Bongo siku hizi hizi alama sio nyingi sana. Ila ni za makutano ya reli na barabara na hizo mark 3 zinawakilisha mita mia 300 nikiwa 2 mita 200 moja mita 100
 
Attachments

  • images (5) (5).jpeg
    images (5) (5).jpeg
    7.6 KB · Views: 17
Back
Top Bottom