Kuna kijana moja hivi nafkiri wa Idarahivi ni Mhenga gani atakuwa yuko naye?
Kuna kijana moja hivi nafkiri wa Idara
Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
Huyo mtoto wallahi Daaah! Halafu unakuta kuna jitu linamliza mchana na usiku kucha kwa kutokujibu SMS au kuchepuka pembeni. Wanaume kweli sisi ni wajivuni. Nilikutana nae Airpot wallahi nilijichanganya nikatoa kadi ya chanjo badala ya passport.
HahahaaaHuyo mtoto wallahi Daaah! Halafu unakuta kuna jitu linamliza mchana na usiku kucha kwa kutokujibu SMS au kuchepuka pembeni. Wanaume kweli sisi ni wajivuni. Nilikutana nae Airpot wallahi nilijichanganya nikatoa kadi ya chanjo badala ya passport.
Nje ya mada...Mheshimiwa ni mrembo
Hivi ndio vitu mtu hata ukituhumiwa...
Nimeona Upendo Peneza viti maalum Chadema kwenye ziara ya Waziri Mkuu wilayani Ruangwa wakigawa pikipiki kwa vijana wa ccm.....Naomba ufafanuzi hiyo ziara inahusiana na nini.?
=============================
Updates
Mbunge viti maalum CHADEMA kutoka Mkoa wa wa Geita, Upendo Peneza ameungana na wabunge wa CUF wa Mkoa wa Lindi katika ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika mkoa huo.
Katika mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Shule ya msingi Likangara wilayani Ruangwa, Peneza amewaomba wananchi waliombee taifa ili liendelee kuwa na amani pamoja na kuwaombea viongozi wa kisiasa wawe na uvumilivu ili wazidi kusonga mbele kimaendeleo.
"Wananchi wa Ruangwa nawatakia maisha mema ili mzidi kusonga mbele, tuombee amani ya nchi yetu na mtuombee viongozi tuwe na uvumilivu wa kisiasa."
Mbali na Upendo, pia mkutano huo ulihudhuriwa na wabunge wengine ambao ni Hassan Masala (Nachingwea), Zubery Kuchauka (Liwale), Hassan Kaunje (Lindi Mjini) na Hamida Abdalaah (Viti Maalumu).
Kwa pamoja wabunge hao wamesema lengo la kushiriki kwenye ziara hiyo ni kuunga mkono jitihada zinazofanywa na serikali ya awamu ya tano katika kuwaletea wananchi maendeleo
Chanzo Azam news.
My take....
Je hii inaashiria nini kwa chama cha Chadema, je Chedema kimegawanyika rasmi kuhusu serikali ya Magufuli.?
Au nae amenunuliwa kama madiwani wa Arumeru.
Nyie Chadema, hebu acheni ujinga wenu, pelekeni majina ya wabunge wenu 19 wa viti maalum, pimeni pros na cons za kususa muone nini kina faida zaidi, hata kama sio kwa Chadema as chama, then waachieni fursa za ajira wanawake wenu 19, tena nashauri priority iwe ni kwa wale waliogombea majimboni.
Kupeleka hao wabunge ni kuhalalisha a.k.a. kubariki yaliyofanyika katika kile kilichoitwa uchaguzi.Nyie Chadema, hebu acheni ujinga wenu, pelekeni majina ya wabunge wenu 19 wa viti maalum, pimeni pros na cons za kususa muone nini kina faida zaidi, hata kama sio kwa Chadema as chama, then waachieni fursa za ajira wanawake wenu 19, tena nashauri priority iwe ni kwa wale waliogombea majimboni.
Just imagine, mtu kama huyu kukosekana Bungeni?.
Acheni hizo, pelekeni majina.
P
Kama mnataka wanawake si wapo kina Zuchu, Wema nk kwanini kuwataka wa Chadema ambao hawawataki maana mnasema wanakwamisha maendeleo?Nyie Chadema, hebu acheni ujinga wenu, pelekeni majina ya wabunge wenu 19 wa viti maalum, pimeni pros na cons za kususa muone nini kina faida zaidi, hata kama sio kwa Chadema as chama, then waachieni fursa za ajira wanawake wenu 19, tena nashauri priority iwe ni kwa wale waliogombea majimboni.
Just imagine, mtu kama huyu kukosekana Bungeni?.
Acheni hizo, pelekeni majina.
P
Nyie danganyweni tu na raia wa ubelgiji Lissu, yeye anakwenda kula bata ulaya, chama kinakosa wawakilishi, kinakosa hela kinakosa platform kinakufa, kinaibuka chama kingine kidogo tu kinasonga mbele, kumbuka kabla ya chadema chama kikuu cha upinzani kilikuwa ni NCCR MAGEUZI, ni kilivyosusasusa mambo kikadhoofika, sasa nyie msikilizeni tu mwananchi wa Ubelgiji, akirudi 2025 anaibukia NLD au TADEA mambo yake yanakwenda, akili za kuambiwa changanya na za kwakoKupeleka hao wabunge ni kuhalalisha a.k.a. kubariki yaliyofanyika katika kile kilichoitwa uchaguzi.
Bunge la sasa halihitaji watu ambao kazi yao ni kupinga pinga acha wasuse ili tupate maendeleo kwa haraka zaidi. Kwanza watakuwa wameokoa gharama za posho, mishahara na viinua mgongo.Nyie Chadema, hebu acheni ujinga wenu, pelekeni majina ya wabunge wenu 19 wa viti maalum, pimeni pros na cons za kususa muone nini kina faida zaidi, hata kama sio kwa Chadema as chama, then waachieni fursa za ajira wanawake wenu 19, tena nashauri priority iwe ni kwa wale waliogombea majimboni.
Just imagine, mtu kama huyu kukosekana Bungeni?.
Acheni hizo, pelekeni majina.
P
Kama mnataka tupeleke hao wabunge mwambieni huyo Jiwe kwanza arudishe kwanza hela za rambirambi alizoiba na alipe fidia kwa watu wa KoroshoNyie Chadema, hebu acheni ujinga wenu, pelekeni majina ya wabunge wenu 19 wa viti maalum, pimeni pros na cons za kususa muone nini kina faida zaidi, hata kama sio kwa Chadema as chama, then waachieni fursa za ajira wanawake wenu 19, tena nashauri priority iwe ni kwa wale waliogombea majimboni.
Just imagine, mtu kama huyu kukosekana Bungeni?.
Acheni hizo, pelekeni majina.
P